PLL
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 882
- 400
kuna wanamme nuksi pia?
Eh mpendwa na wapo wenye damu mbaya,ukitoka nae yan unakongoroka balaa,yaani km ulikua na hips zote kushney..
kuna wanamme nuksi pia?
ahahhahahha nacheka kama mazuri!
sasa fanya hiv ili tuamini kuwa ni kweli hebu mgegede tena af tuone utapatwa na nini?
mi siamini kwenye hii makitu!
Habarini wandugu.
Kuna hili jambo nilikuwa nalisikia ila naona kama lina nikumba.
Eti kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata nuksi flani au gundu....?
Maana kuna dada mmoja nisha do naye kama mara 2 hv ila katika hizo mara 2, mara ya kwanza siku hiyo niligonga gema la kando mwa barabara nikanusurika. Mara ya pili siku hiyo nikagonga gari barabarani pia nikanusurika. Sasa hv baada ya kutafakari ninamuogopa kweli.... wala sitaki mawasiliano naye.
Ni kweli kuna baadhi ya wanawake ni nuksi ukimgegeda....?
kuna wanamme nuksi pia?
unacheza na sumaku!!!! utanaswa :lol:ahahhahahha nacheka kama mazuri!
sasa fanya hiv ili tuamini kuwa ni kweli hebu mgegede tena af tuone utapatwa na nini?
mi siamini kwenye hii makitu!
kuna mwanamke nili mlala weeee warning letter zilifululiza nkaishia na summary dismissal ....wako wanawake mlango wa saba.......
wapo kibao, nikutajie?