NuKSi

NuKSi

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
Habarini wandugu.
Kuna hili jambo nilikuwa nalisikia ila naona kama lina nikumba.
Eti kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata nuksi flani au gundu....?
Maana kuna dada mmoja nisha do naye kama mara 2 hv ila katika hizo mara 2, mara ya kwanza siku hiyo niligonga gema la kando mwa barabara nikanusurika. Mara ya pili siku hiyo nikagonga gari barabarani pia nikanusurika. Sasa hv baada ya kutafakari ninamuogopa kweli.... wala sitaki mawasiliano naye.
Ni kweli kuna baadhi ya wanawake ni nuksi ukimgegeda....?
 
hii kitu kina ukweli ndani yake
 
Uesharati tu kwa kawaida una nuksi,halafu inawezekana huyo mdada sio mtu wa kawaida anaweza hata akawa jini teh. Teh. Ha ha Tchao...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habarini wandugu.
Kuna hili jambo nilikuwa nalisikia ila naona kama lina nikumba.
Eti kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata nuksi flani au gundu....?
Maana kuna dada mmoja nisha do naye kama mara 2 hv ila katika hizo mara 2, mara ya kwanza siku hiyo niligonga gema la kando mwa barabara nikanusurika. Mara ya pili siku hiyo nikagonga gari barabarani pia nikanusurika. Sasa hv baada ya kutafakari ninamuogopa kweli.... wala sitaki mawasiliano naye.
Ni kweli kuna baadhi ya wanawake ni nuksi ukimgegeda....?

Nimekuwa nikisikia hivyo hayo mambo yapo hata mimi kuna vitu vimeshatokea vyenye uhusiano na hiyo kwahyo kiasi kikubwa ni kwamba inawezekana kabisa.
 
Habarini wandugu.
Kuna hili jambo nilikuwa nalisikia ila naona kama lina nikumba.
Eti kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata nuksi flani au gundu....?
Maana kuna dada mmoja nisha do naye kama mara 2 hv ila katika hizo mara 2, mara ya kwanza siku hiyo niligonga gema la kando mwa barabara nikanusurika. Mara ya pili siku hiyo nikagonga gari barabarani pia nikanusurika. Sasa hv baada ya kutafakari ninamuogopa kweli.... wala sitaki mawasiliano naye.
Ni kweli kuna baadhi ya wanawake ni nuksi ukimgegeda....?

Mkulu

Hiyo kitu ni kweli kabisa ipo...kuna mwanamke ukitoka naye tu au kuoa....ndiyo mwanzo wa mabalaa...kazi utafukuzwa..ukipona onyo...nyumba itaungua moto au kuibiwa... mahusiano mabaya na ndugu na rafiki...ili mradi shida....

Nina rafiki yangu wa karibu...ilibidi-advorce ili maisha yaendelee...cha ajabu walikuwa wanapendana kama kawaida...WATU WAZIMA walimstua kamanda wangu...sasa hivi maisha yamerejea, ameanza upya...kuna vitu vya ajabu sana kwenye ardhi hii ya walimwengu...

Wengine wanasema tunaishi, tunaoa, tunazaa na mashetani a.k.a majini...unakutana na kaka au dada maridadi unadhani umepata....

wadogo zetu wanakuja hapa na post zao.... oohh, jana nimepata demu papuchi yake tamu siyo kawaida, kumbe papuchu ya jini...LOL

NI SIRI KUBWA SANA KAMANDA... TUOMBE MOLA ATUNUSURU
 
Ukikutana na wa hivyo ni lazima awe jini?si Kwamba wengine ni watu tu?kama nimeelewa bandiko lako.
 
In a spiritual world tendo la ngono ni unganiko la nafsi na mwili baina ya wanaongonoka...

Hivyo jambo baya au zuri laweza ambukizwa kwa mwanamke au mwanaume kupitia ngono
 
Habarini wandugu.
Kuna hili jambo nilikuwa nalisikia ila naona kama lina nikumba.
Eti kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata nuksi flani au gundu....?
Maana kuna dada mmoja nisha do naye kama mara 2 hv ila katika hizo mara 2, mara ya kwanza siku hiyo niligonga gema la kando mwa barabara nikanusurika. Mara ya pili siku hiyo nikagonga gari barabarani pia nikanusurika. Sasa hv baada ya kutafakari ninamuogopa kweli.... wala sitaki mawasiliano naye.
Ni kweli kuna baadhi ya wanawake ni nuksi ukimgegeda....?
Mpenda kimbweka Heshima ya utu uzima kwako!
Labda nikujuze tu Maana hujaelewa Tendo lote la Zinaa ni Dhambi kubwa na tija zake ni :- Kufilisika,Kukosa Baraka,kuugua maradhi yasiyo na tiba,kukumbwa na balaa,Majangaa na kuweka afya rehani.!!!! Acha Uasherati, Tafuta mke uoe kihalali hayo niliyotaja yatarudi kwa mfumo mwema na kudumu milele.
Kila la kheyri kuwa Rijali ufungue Nyumba uishi mstarahe.
 
hahahahaha mimi49 umenichekesha sana.
umesahau mkuu kuna mtu alikuja na uzi hapa tuwe makini maana yeye baada ya kumaliza kungongoka alipotaka kwenda kutupa mpira bibie akamkataza na mule mlikuwa na zana zake,basi yule msichana akampa vitisho atamfanyia kitu mbaya na tangia wakati huo anamwagia mapesa tu maana alizipeleka zile nanihio kwa babu buhanga!!
 
Daah inawezekana kabisa kwani wengine wanasema ukimpa mwanamke lifti kwa gari uchukue na kajiwe kadogo uweke looh. Bt hebu tuangalie na upande wa wanaume kuwa nuksi pia.
 
Mmmmm hizi comments zimenitisha sana ...............!:suspicious:
 
kuna mwanamke nili mlala weeee warning letter zilifululiza nkaishia na summary dismissal ....wako wanawake mlango wa saba.......
 
ahahhahahha nacheka kama mazuri!
sasa fanya hiv ili tuamini kuwa ni kweli hebu mgegede tena af tuone utapatwa na nini?
mi siamini kwenye hii makitu!
 
Back
Top Bottom