GRAPHIX MASTER
Senior Member
- May 22, 2015
- 165
- 87
Kwa kawaida kwenye kesi za mapenzi za kupigana mwanamke ndio huwa anamshtaki mwanaume, mwanaume hata kama umedundwa inabidi utulie kimya inabakia kuwa 'Siri ya ndani' huo ndio uwanaume, sasa hii ya kudundwa halafu unatutangazia napata shida sana na kiwango cha uanaume cha huyu dogo, na ananifanya niamini kwamba wanaume sikuhizi tumepungua sana. Kama hujajua nazungumzia nini rejea mashairi ya wimbo wake mpya 'Jike Shupa', ati 'Mapenzi si ubondia, najikaza huku nateketea, bora nijivuee....'.
Wanaume wa Dar bwana!!!
Wanaume wa Dar bwana!!!