TONY LOVE
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 720
- 380
Nikitulia sitampata mwenye sifa ninazohiitaji.Unaacha kutulia saa hii unasubiri ndoa ndo utulie
Nikitulia sitampata mwenye sifa ninazohiitaji.Unaacha kutulia saa hii unasubiri ndoa ndo utulie
haina shida nitalipa kidogokidogoTena wahi kabla sijapandisha mahari
Hahaha naona unataka unioe kwa mkopohaina shida nitalipa kidogokidogo
Wewe wasemaNikitulia sitampata mwenye sifa ninazohiitaji.
hamna bhana, kwani mahari yenyewe kiasi gani, itafika elf70?Hahaha naona unataka unioe kwa mkopo
Acha kuingiza maswala ya udini mkuu, swala la afya na uwislam vinahusiana ninHivi kwa waislam kabla ya kufunga ndoa huwa mnapimwa afya?
Yetu sijui lini Maskini Mimi ata hela ya kikao cha kwanza sina..nivumilie tu Nifah wangu uu Utawala wa baba J uisheUjana ni maji ya moto...ndoa ni jambo la kheri.
Hongera Nuh na mkeo kwa kuufikia nusu ya uislam,kila la kheri.
Mjaaliwe watoto wema In Shaa Allah.
Yetu sijui lini Maskini Mimi ata hela ya kikao cha kwanza sina..nivumilie tu Nifah wangu uu Utawala wa baba J uishe
Wallah nimecheka sana.Bado wewe tuUjana ni maji ya moto...ndoa ni jambo la kheri.
Hongera Nuh na mkeo kwa kuufikia nusu ya uislam,kila la kheri.
Mjaaliwe watoto wema In Shaa Allah.

Hivi kwa waislam kabla ya kufunga ndoa huwa mnapimwa afya?
Shishi alilea, mtoto amekua sasa anaoa.Kama namuona shilole jinsi atakavyotokwa povu.Ndoa nazo za wasanii huwa ni za mwendokasi kesho na kesho kutwa utawakuta wanaanikana kwa shigongo.
Ila mie nawaombea heri na baraka tele katika safari yao
Good![]()
Hayawi hayawi sasa yamekua...
Nuh na Nawal wafunga ndoa...
Hongera Nuh na mkeo Nawal....
Ni kweli,panapo majaaliwa In Shaa Allah.Bado wewe tu![]()
![]()
![]()