Hizi zinatembea chini ya maji na kwa muundo wake huwa hata huwezi siki kelele na pia wanadai inaweza ibukia chini ya meli na kuipindua.hatari yake ni nini mkuu?
makombora yake hayazuiliki ?
Makombora yake yanazuilika ila, haijulikani yataibukia wapi, saa ngapi na ni mangapi. Uli muda wa king'ora kulia myakwepe ni mfupi mno kiasi kwamba, itakuwa ni Mission accomplished. Wala si vinginevyo.hatari yake ni nini mkuu?
makombora yake hayazuiliki ?
yanazuilika, hakuna kombora lisilozuilikahatari yake ni nini mkuu?
makombora yake hayazuiliki ?
Kwa hiyo huwa zinashambuliwa na nyambizi mwenzie tuu!! kama hakuna nyambizi ya kuishambulia ndo basi tena?Hizi zinatembea chini ya maji na kwa muundo wake huwa hata huwezi siki kelele na pia wanadai inaweza ibukia chini ya meli na kuipindua.
Meli zote za kivita hasa zile za Marekani za kubebea ndege huwa adui wake mkubwa ni nyambizi.
Na pia zinaweza piga tukio na zikapotea na kumbuka hizi labda uzifukuzie na Nyambizi nyenzake.
Haya! Wajuzi sona na accoustic ndo vinini hi I?Submarines zinaonekana (detected) kupitia Acoustic tech na Sonar tech
Ngoma bado sana
Hypersonic missile kwa sasa haizuliki mkuu hakuna defense system ya kuzuia kwa sasa.yanazuilika, hakuna kombora lisilozuilika
Huwezi kucover hizo sonar kwa sehemu kama bahari ya antlantic yoteSubmarines zinaonekana (detected) kupitia Acoustic tech na Sonar tech
Ngoma bado sana
Na pia usisahau kuwa kuna jinsi ya kuifanya Sonar ikave iyo sehemu kubwa ya bahari kama AntlanticHuwezi kucover hizo sonar kwa sehemu kama bahari ya antlantic yote
Na kuna jinsi ya kuepuka sonar vile vile
Yani vifaa vya kivita submarine ndio ngumu kudetect.Na pia usisahau kuwa kuna jinsi ya kuifanya Sonar ikave iyo sehemu kubwa ya bahari kama Antlantic
Makombola = makomboraAchana na Ndege za kivita za kila aina, Achana na Makombola ya masafa marefu na mafupi na achana na Meli za kila aina za kivita.
Submarine ndo inabakia kuwa siraha za kuogofya na za hatari sana.
Ukimuona Murusi anacho hofia sio zile ndge za kivita wala Meli za kivita za Marekani bali ni Nyambizi za kivita za Marekani
Hivyo hivyo Marekani kinacho mkosesha usingizi ni Nyambizi za kivita za Urusi.
Nyambizi hasa zinaweza kubeba siraha za Nuclera zinatajwa kuwa za hatari mno.
Nyambizi ni zs hatari kutokana na nature yake hasa ya kuweza kukaa kwenye maji hadi siku 100 bila kuibuka juu.
Nyambizi za Urusi zinaweza piga misele hadi jirani na pwani ya Marekani.
Na kwa sasa nyingi ni za kubeba Silahara za Nuclera na hata Conventional.
Moja ya nyambizi za kushambulia zilizo za hatari mno.
1.Seawolf Class (USA
2.Graney class (Russia)
Na zingine nyingi tu.
View attachment 1124035View attachment 1124036
Mwaka jana kuna nuclear sub za russia zilifika mpaka us coast bila kugunduliwa na kurudi nyumbani salama.Na pia usisahau kuwa kuna jinsi ya kuifanya Sonar ikave iyo sehemu kubwa ya bahari kama Antlantic
Huwezi kucover hizo sonar kwa sehemu kama bahari ya antlantic yote
Na kuna jinsi ya kuepuka sonar vile vile
Aircraft carrier na meli za kivita zina mfumo wa sonar maalum kwa kuzidetect hizo subsHizi zinatembea chini ya maji na kwa muundo wake huwa hata huwezi siki kelele na pia wanadai inaweza ibukia chini ya meli na kuipindua.
Meli zote za kivita hasa zile za Marekani za kubebea ndege huwa adui wake mkubwa ni nyambizi.
Na pia zinaweza piga tukio na zikapotea na kumbuka hizi labda uzifukuzie na Nyambizi nyenzake.
Aircraft carrier na meli za kivita zina mfumo wa sonar maalum kwa kuzidetect hizo subs
Na pia carrier za Marekani kila zinapokua kwenye mission hua zinasindikizwa na destroyers,frigates pamoja na submarine
Carrier yenyewe inabeba Ndege maalum kabisa kwa ajili ya hiyo kaz ya kutafuta submarine mfano P-8 Poseidon
Hata sasa bado ni changamoto kwenye kuzidetect sub hasa zile high tech Sub kama hyo Seawolf ya Muamerica ambayo ina stealth au Akula ya Mrusi ila teknolojia kila siku inabadilikaNi suala la muda tu hizo Carrier zitapakiwa maana next generation Submarines zinakuja kuzifanya Acoustic na Sonar tech useless