Nuclear Missile Submarines zinabakia kuwa Siraha za hatari kabisa Duniani

Hizi zinatembea chini ya maji na kwa muundo wake huwa hata huwezi siki kelele na pia wanadai inaweza ibukia chini ya meli na kuipindua.

Meli zote za kivita hasa zile za Marekani za kubebea ndege huwa adui wake mkubwa ni nyambizi.

Na pia zinaweza piga tukio na zikapotea na kumbuka hizi labda uzifukuzie na Nyambizi nyenzake.
Wenzako hata ikae majini miezi sita, wanatechnolojia ya kugundua mahala ilipo na wakati. Achana na hizo pande mbili. Hivi unafikiri meli vita za USA zilizopo ghuba hazina ulinzi wowote. Yaani zipo zipo tu kama maboti ya mv.rufiji
 
Hapo kuna vitu viwili tofauti, Kuna Nuclear Submarines na pia kuna Ballistic Missile Submarines. Hapo umeongelea zaidi Ballistic Missile Submarines ambazo zinakuwa na Makombora ya Nyuklia yanayojulikana kama SLBMs (Submarine Launched Ballistic Missiles). Mfano wa hizi SLBM ni Trident II ambayo kwa Data zilizopo ndiyo missile yenye nguvu zaidi kuliko zote zinazotumika na Submarines.

Tofauti na hapo, kuna Nuclear Submarines. Hizi ni Submarines zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu ama nishati ya Nyuklia. Hizi ndizo Submarines zenye uwezo mkubwa zaidi Duniani na zinaweza kukaa chini ya maji hata miaka 25. Ni mataifa matano (5) tu Duniani wana aina tofauti tofauti ya nyambizi kama hizi. Pia kuna nyambizi za kawaida ambazo hazitumii nishati ya Nyuklia, hizi nchi nyingi tu wanazo.
Hicho nchi tano ni zipi mkuu?
 
Ktk Silaha ambazo ni Complex kuzitengeneza basi ni Submarines au Nyambizi ni nchi chache sana ambazo zimeweza kumasta technology ya kutengeneza na wengine wamefika mbali zaidi kuweza kuziwekea mfumo wa air independent system hivo ikizama ngoma inakaa miezi mitatu ndani ya maji..Nchi ambazo mpaka sasa zimeweza kutengeneza submarine ni:-
1.Russia
2.US
3.China
4.Germany
5.UK
6.North Korea
7.South Korea
8.Iran
9.Turkey.
10.Brazil
11.Na baadhi ya nchi chache Nchi nyingi wananunua kutoka ktk hizo nchi Tajwa
Mfaransa hayumo?
 
Itoe north korea kwa sababu haitengenezi bali wanazo nyongi pia wali nunua kipindi cha nyuma enzi za sovieti union.
Ktk Silaha ambazo ni Complex kuzitengeneza basi ni Submarines au Nyambizi ni nchi chache sana ambazo zimeweza kumasta technology ya kutengeneza na wengine wamefika mbali zaidi kuweza kuziwekea mfumo wa air independent system hivo ikizama ngoma inakaa miezi mitatu ndani ya maji..Nchi ambazo mpaka sasa zimeweza kutengeneza submarine ni:-
1.Russia
2.US
3.China
4.Germany
5.UK
6.North Korea
7.South Korea
8.Iran
9.Turkey.
10.Brazil
11.Na baadhi ya nchi chache Nchi nyingi wananunua kutoka ktk hizo nchi Tajwa
 
Cheki scene hiyo mkuu ni moja kati ya scene matata kutoka movie ya hunter killer
Hahahahah

Dude linaishia pembeni mwa Cuba then linaachia vitu kuelekea States pale hahahahhahh
 
Cheki scene hiyo mkuu ni moja kati ya scene matata kutoka movie ya hunter killer
Kama mpenzi wa movie jaribu kutafuta movie inaitwa 'Hunter killer' uone jinsi nyambizi za Marekani na Urusi zinavyowindana.

NI movie nzuri sana hasa kwa wapenzi wa haya Mambo ya teknolojia za kijeshi
 
Achana na Ndege za kivita za kila aina, Achana na Makombola ya masafa marefu na mafupi na achana na Meli za kila aina za kivita.

Submarine ndo inabakia kuwa siraha za kuogofya na za hatari sana.

Ukimuona Murusi anacho hofia sio zile ndge za kivita wala Meli za kivita za Marekani bali ni Nyambizi za kivita za Marekani

Hivyo hivyo Marekani kinacho mkosesha usingizi ni Nyambizi za kivita za Urusi.

Nyambizi hasa zinaweza kubeba siraha za Nuclera zinatajwa kuwa za hatari mno.

Nyambizi ni zs hatari kutokana na nature yake hasa ya kuweza kukaa kwenye maji hadi siku 100 bila kuibuka juu.

Nyambizi za Urusi zinaweza piga misele hadi jirani na pwani ya Marekani.

Na kwa sasa nyingi ni za kubeba Silahara za Nuclera na hata Conventional.
Moja ya nyambizi za kushambulia zilizo za hatari mno.

1.Seawolf Class (USA
2.Graney class (Russia)

Na zingine nyingi tu.





View attachment 1124035View attachment 1124036
Ungeweka na kipande hiki kngependeza
 
1125815


Mimi ninajivuknia hiki kidogo nilicho nacho nashukuru mtaani wananiheshimu kwa kuwa na hiki kifaa hivyo vitatu vinavyotazama angani wanaviita 3 fingers of death
 
Back
Top Bottom