MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,474
- 8,692
Achana na Ndege za kivita za kila aina, Achana na Makombola ya masafa marefu na mafupi na achana na Meli za kila aina za kivita.
Submarine ndo inabakia kuwa siraha za kuogofya na za hatari sana.
Ukimuona Murusi anacho hofia sio zile ndge za kivita wala Meli za kivita za Marekani bali ni Nyambizi za kivita za Marekani
Hivyo hivyo Marekani kinacho mkosesha usingizi ni Nyambizi za kivita za Urusi.
Nyambizi hasa zinaweza kubeba siraha za Nuclera zinatajwa kuwa za hatari mno.
Nyambizi ni zs hatari kutokana na nature yake hasa ya kuweza kukaa kwenye maji hadi siku 100 bila kuibuka juu.
Nyambizi za Urusi zinaweza piga misele hadi jirani na pwani ya Marekani.
Na kwa sasa nyingi ni za kubeba Silahara za Nuclera na hata Conventional.
Moja ya nyambizi za kushambulia zilizo za hatari mno.
1.Seawolf Class (USA
2.Graney class (Russia)
Na zingine nyingi tu.