Nuclear Missile Submarines zinabakia kuwa Siraha za hatari kabisa Duniani

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,461
8,671
Achana na Ndege za kivita za kila aina, Achana na Makombola ya masafa marefu na mafupi na achana na Meli za kila aina za kivita.

Submarine ndo inabakia kuwa siraha za kuogofya na za hatari sana.

Ukimuona Murusi anacho hofia sio zile ndge za kivita wala Meli za kivita za Marekani bali ni Nyambizi za kivita za Marekani

Hivyo hivyo Marekani kinacho mkosesha usingizi ni Nyambizi za kivita za Urusi.

Nyambizi hasa zinaweza kubeba siraha za Nuclera zinatajwa kuwa za hatari mno.

Nyambizi ni zs hatari kutokana na nature yake hasa ya kuweza kukaa kwenye maji hadi siku 100 bila kuibuka juu.

Nyambizi za Urusi zinaweza piga misele hadi jirani na pwani ya Marekani.

Na kwa sasa nyingi ni za kubeba Silahara za Nuclera na hata Conventional.
Moja ya nyambizi za kushambulia zilizo za hatari mno.

1.Seawolf Class (USA
2.Graney class (Russia)

Na zingine nyingi tu.

images%20(9).jpeg
rtx5h9rf%20(1).jpeg
 
hatari yake ni nini mkuu?
makombora yake hayazuiliki ?
Hizi zinatembea chini ya maji na kwa muundo wake huwa hata huwezi siki kelele na pia wanadai inaweza ibukia chini ya meli na kuipindua.

Meli zote za kivita hasa zile za Marekani za kubebea ndege huwa adui wake mkubwa ni nyambizi.

Na pia zinaweza piga tukio na zikapotea na kumbuka hizi labda uzifukuzie na Nyambizi nyenzake.
 
hatari yake ni nini mkuu?
makombora yake hayazuiliki ?
Makombora yake yanazuilika ila, haijulikani yataibukia wapi, saa ngapi na ni mangapi. Uli muda wa king'ora kulia myakwepe ni mfupi mno kiasi kwamba, itakuwa ni Mission accomplished. Wala si vinginevyo.
 
Hizi zinatembea chini ya maji na kwa muundo wake huwa hata huwezi siki kelele na pia wanadai inaweza ibukia chini ya meli na kuipindua.

Meli zote za kivita hasa zile za Marekani za kubebea ndege huwa adui wake mkubwa ni nyambizi.

Na pia zinaweza piga tukio na zikapotea na kumbuka hizi labda uzifukuzie na Nyambizi nyenzake.
Kwa hiyo huwa zinashambuliwa na nyambizi mwenzie tuu!! kama hakuna nyambizi ya kuishambulia ndo basi tena?
 
Hapo kuna vitu viwili tofauti, Kuna Nuclear Submarines na pia kuna Ballistic Missile Submarines. Hapo umeongelea zaidi Ballistic Missile Submarines ambazo zinakuwa na Makombora ya Nyuklia yanayojulikana kama SLBMs (Submarine Launched Ballistic Missiles). Mfano wa hizi SLBM ni Trident II ambayo kwa Data zilizopo ndiyo missile yenye nguvu zaidi kuliko zote zinazotumika na Submarines.

Tofauti na hapo, kuna Nuclear Submarines. Hizi ni Submarines zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu ama nishati ya Nyuklia. Hizi ndizo Submarines zenye uwezo mkubwa zaidi Duniani na zinaweza kukaa chini ya maji hata miaka 25. Ni mataifa matano (5) tu Duniani wana aina tofauti tofauti ya nyambizi kama hizi. Pia kuna nyambizi za kawaida ambazo hazitumii nishati ya Nyuklia, hizi nchi nyingi tu wanazo.
 
Ktk Silaha ambazo ni Complex kuzitengeneza basi ni Submarines au Nyambizi ni nchi chache sana ambazo zimeweza kumasta technology ya kutengeneza na wengine wamefika mbali zaidi kuweza kuziwekea mfumo wa air independent system hivo ikizama ngoma inakaa miezi mitatu ndani ya maji..Nchi ambazo mpaka sasa zimeweza kutengeneza submarine ni:-
1.Russia
2.US
3.China
4.Germany
5.UK
6.North Korea
7.South Korea
8.Iran
9.Turkey.
10.Brazil
11.Na baadhi ya nchi chache Nchi nyingi wananunua kutoka ktk hizo nchi Tajwa
 
Achana na Ndege za kivita za kila aina, Achana na Makombola ya masafa marefu na mafupi na achana na Meli za kila aina za kivita.

Submarine ndo inabakia kuwa siraha za kuogofya na za hatari sana.

Ukimuona Murusi anacho hofia sio zile ndge za kivita wala Meli za kivita za Marekani bali ni Nyambizi za kivita za Marekani

Hivyo hivyo Marekani kinacho mkosesha usingizi ni Nyambizi za kivita za Urusi.

Nyambizi hasa zinaweza kubeba siraha za Nuclera zinatajwa kuwa za hatari mno.

Nyambizi ni zs hatari kutokana na nature yake hasa ya kuweza kukaa kwenye maji hadi siku 100 bila kuibuka juu.

Nyambizi za Urusi zinaweza piga misele hadi jirani na pwani ya Marekani.

Na kwa sasa nyingi ni za kubeba Silahara za Nuclera na hata Conventional.
Moja ya nyambizi za kushambulia zilizo za hatari mno.

1.Seawolf Class (USA
2.Graney class (Russia)

Na zingine nyingi tu.

View attachment 1124035View attachment 1124036
Makombola = makombora

Siraha = silaha

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Huwezi kucover hizo sonar kwa sehemu kama bahari ya antlantic yote

Na kuna jinsi ya kuepuka sonar vile vile

Kuzikwepa Acoustic na Sonar ni uwezo ambao bado haujapatikana

Next gen ya Submarines kuweza kuzishinda Acoustic na Sonar ni shughuli pevu ambayo itachukua muda
 
Hizi zinatembea chini ya maji na kwa muundo wake huwa hata huwezi siki kelele na pia wanadai inaweza ibukia chini ya meli na kuipindua.

Meli zote za kivita hasa zile za Marekani za kubebea ndege huwa adui wake mkubwa ni nyambizi.

Na pia zinaweza piga tukio na zikapotea na kumbuka hizi labda uzifukuzie na Nyambizi nyenzake.
Aircraft carrier na meli za kivita zina mfumo wa sonar maalum kwa kuzidetect hizo subs

Na pia carrier za Marekani kila zinapokua kwenye mission hua zinasindikizwa na destroyers,frigates pamoja na submarine

Carrier yenyewe inabeba Ndege au helicopter maalum kabisa kwa ajili ya hiyo kaz ya kutafuta submarine mfano Mh-60 Seahawk helicopters
 
Aircraft carrier na meli za kivita zina mfumo wa sonar maalum kwa kuzidetect hizo subs

Na pia carrier za Marekani kila zinapokua kwenye mission hua zinasindikizwa na destroyers,frigates pamoja na submarine

Carrier yenyewe inabeba Ndege maalum kabisa kwa ajili ya hiyo kaz ya kutafuta submarine mfano P-8 Poseidon

Ni suala la muda tu hizo Carrier zitapakiwa maana next generation Submarines zinakuja kuzifanya Acoustic na Sonar tech useless
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom