Ili Whatsapp iweze kukaa keenye simu lazima uwe na na supported OS, ntazungumzia Android maana hii ndio OS ilio katika simu yako (HTC Tattoo) Ili whatsapp iwe installed kwenye android lazima iwe ni version 2.1(Eclair) na kuendelea, lakini simu yako ina Android version 1.6(Donut) kwa kwahiyo hautaweza ku install whatsapp kwenye HTC Tattoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.