Ntatafuta kazi ya kupika

Miss Champagne

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
2,157
6,309
Habari mi ni binti umri 27

Nina changamoto ninazopitia zinazonifanya nikae nyumba ni mda mwingi na kukosa kazi.

Nahitaji kazi ya upishi mahali penye nafasi kama hiyo.

Vyakula vingi nnavyoweza ni vya kiafrika mfano pilau,ugali, wali, tambi, nyama roast, samaki, maini nk!

Nina changamoto ya viganja vya miguu lakini kufanya kazi mahali pamoja naweza na jiko nahimili

Kama unajua anaehitaji ama inahitaj
Napatikana mkoa wa Dar es salaam
Asante
 
Back
Top Bottom