mnyongeni
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 141
- 24
Habari, mimi napatikana kahama shinyanga nimenunua king'amuzi cha startimes mwezi uliopita 03/2015. Kwa promotion ya sh. 39000, nikapewa ofa ya kifurushi cha sh. 10000 kwa miezi mitatu. Tatizo kwenye local channels haipo clouds tv. Nikajaribu kumuuliza mtu aliyeko pwani naye anatumia startimes decoder akasema ipo. Frequency tunatumia wote za 451. Msaada please.