Ntapata wapi vifaa vya kutengenezea green house na tents za kupunguza ukali wa jua kwenye Bustani?

kufikirika

Member
Nov 22, 2013
39
17
Habari za kazi wana janvi.Natanguliza shukrani na heshima kwenu wote.
Nimekuwa nikitafuta mahali naweza pata vitu nilivyo taja uapo juu.
Tafadhalini.
 
Tuwasiliane. Nina kampuni inayo fanya hizo kazi. Nitaku pm number yangu na mail
 
Nadhani hili ni jukwaa la siasa! sina shaka haitafika sekunde hii kitu itapotezwa.
 
mkuu karibu jukwaa la uchumi na biashara kuna jamaa ana uzi kule una picha na maelezo ya kutosha!
kuwa makini na matapeli
 
Asanteni wakuu.Kweli nimeamini JF ni a complete business solution.Hukosi kitu hapa ndani.Ngoja nifuatilie sehemu mlizonishauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom