Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili?

Njia rahisi sana hata kama huna macho ya kuona ni harufu kali ya na mbaya ya ngozi inayotoka kwa anaejibadilisa ngozi yake ya asili. Hata aweke perfume gani huwa wananuka vibaya sana wakiwa karibu yako.
 



kulikoni nivea mbona umekua "tachidi" sana..
 
Last edited by a moderator:
angalia sehemu zote za mikunjo, kama katika vidole vya mikono na miguu, shingo, pili kama ni rangi yake ya asili rangi hiyo hufanana bila kutofautiana katika maeneo yote ya mwili wake
 

mhhh, Nivea amekugusa au?
 
angalia viganja vya mikononi mkuu,hapo mkorogo hauna mbwembwe,au magotini!!
 
angalia sehemu zote za mikunjo, kama katika vidole vya mikono na miguu, shingo, pili kama ni rangi yake ya asili rangi hiyo hufanana bila kutofautiana katika maeneo yote ya mwili wake
 
Angallia makalio yake. Hayo rangi yake hubakia original
 
Dah, thanks to Jah my Empress is Natural, maana siku hizi dunia imeisha...

Dada zetu wengi Nywele fake, ngozi fake, meno fake, kucha fake, **** fake, matiti fake, mikono fake, tabasamu fake, kope fake.... Dah! Afrikans wamebakiza mental slavery! Hivi haya mambo yataisha lini? 🙁
 
Wengine wanatumia sindano, na inabadilisha kila sehemu. Njia nzuri ni kufananisha na picha zake za zamani.
 
Weupe wa asili unajulikana na weupe wa makopo unajulikana na weupe wa ugonjwa unajulikana kwa kumuona tu mtu, wala haihitaji mbinu au ujuzi.

​

Wanawake bwana!
 

naomba namba yako basi.. Nipm plz!
 



The rise of "chinaization"..
 
ngafu..!!

Vile vile angalia eneo zima linalozunga tunda la kati. Uwa halibadiliki ..ata akwangue kwa msasa.

kwani tunda lakati nini?
 

message delivered.
 
Actions speak louder than words

KABLA...



BAADA...



Halafu wakisema miafrica hatuna akili tunalalamika.
Namshauri aseiende mwanza vijijini peke yake, wenzie wanaweza mfananisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…