Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,774
- 6,953
2026. Samahani31 December, 2025 ilishapita. Kwa muktadha huo, ina maana wewe ulishastaafu. Huenda ID inaendeshwa na Admin
Kwamba kilimo na mifugo akili haihitajiki?Ntakuwepo jukwaani mpaka December 31, 2026
Baada ya hapo nitakuwa nimestaafu kufanya kazi za kutumia akili.
Nitajikita katika kilimo, ufugaji na hii kazi yangu ya ukarani.
Kama una jambo la kunishirikisha, ni vyema ukanishirikisha katika kipindi hiki.
Ahsante.