Ntafurahi sana

Ntafurahi sana

Shem we acha tu! we subiri uone ninavyolipua mtu hapa ni mabomu na magrumeti nayaweka tu sana.

mmmmh haya kweli ya chumbani haya sisi tunasubiria huo utafiti wako ukamilike

lakin kumbuka mkeo Valentina kasem wewe ndo mume wake pekee
 
Last edited by a moderator:
Na ndio maana unaniombea kila wakati nakupenda mke wangu

nakupenda pia my husband maombi ni kinga na ni ngao ya kukinga majaribu bible yasema omben bila kukoma twapaswa kuyatimiza haya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom