ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Ndugu yangu huna budi kumuomba Mungu yeye ndiye hutoa mke mwema hivyo sugua goti utampata
Huwez kuweka utani wa kiivi
Acha kabisa lazima tuunde tume na upigwe faini
Umetushtua sana
jaman msije mkadhani ulikuwa ukwel no! ulikuwa utan
Asante best,anaona raha kunirusha roho
Before u become dis apointed, can u tell them ulivyochepuka?
uzalendo umenishinda....
Before u become dis apointed, can u tell them ulivyochepuka?
uzalendo umenishinda....
haaa kumbe mchepuko ulipita duh! Kweli ya chumban wanayajua wachumbani.
Shem we acha tu! we subiri uone ninavyolipua mtu hapa ni mabomu na magrumeti nayaweka tu sana.
ana waume wangapi?
shem ujue hapa kuna watu wanachepua wake za watu
Inabidi tukae pembeni tuwaache wayazungumze wao