Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 167
- 170
Kusema naogopa Sana kumlea mtoto wangu Dar es salaam sikumaanisha classes but both of them wapo hatarini na anything can happen.
Juzi Kuna sehemu nilikua nimeenda but wonderful enough nilikutana na madogo wakitoka shule nilikua pembeni nikamuuliza dogo unasoma form ngapi akijibu form one mda si mrefu akamja na kusogea pembeni alikua ananyonga kitu pale dogo akasema oa unapiga akimwambia mwenzake akasema hapana akasema bro nishtulie bro nikamuita akaomba pafu na ni bangi Dah nilishngaa Sana sasa Jana nilirudi pale n nilikutana nae kumbe sio yy ty amekuja na wenzake Wana bangi imesokotwa na kiberiti ni form one 🙌