Ntaanzisha Tanzania Space Colonization Mission (TaScom)

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,125
Reaction score
6,141
Tunafahamu kwenye universe kuna sayari nyingi sana, nyota, satellite za asili, vimondo n.k
Hakuna mwenye hatimiliki ya space ni ya wanadamu wote bila kujali rangi yao

Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha space colonisation mission na itakua na kazi zifuatazo
  1. Kutengeneza artifical ozone layer za sayari, na satellite za asili, na kumbuka magnetic field na ozone layer ni kitu kimoja hamna tofauti yeyote ile
  2. Kutengeneza new star system like solar system from sratch
  3. Kutengeneza sayari from scratch
  4. Kuactivate satellite za asili ili ziweze kufacilitate mawasiliano
  5. Kuactive nyota kama Jupiter, na Saturn ambazo haziko active na ziwe active ili barafu kule uranus, neptune na Pluto ziweze kuondoka, na hii itaenda sambamba kwa kuongeza layer nyingine ya ozone layer hapa duniani ili kuendana na mabadiliko ya Saturn na Jupiter ambazo zitakuwa active
Na amini sisi kama nchi ya Tanzania ni wakati wetu wa kuanza kutumia fursa ambazo zipo

Sayari ya aina gani Rocky planets, gas giants au ice giants
Hakuna ice giants wala gas giants hamnaga kitu kama hicho

Hizo gas giants ndo nyota zenyewe, na hizo ice giants ziko hivyo kwa sababu nyota ambazo zinatakiwa zitoe energy haziko active

Mfano sababu ya neptune, uranus, na Pluto kuitwa ice giants ni kwa sababu Saturn na Jupiter ambzo ni star kama ilivyo jua haziko active yaani fusion activities ya kuichoma hydrogen na Helium inayozalishwa haiko active

Ndo maana moja ya kazi ya Tanzania space colonisation mission ni kuactivate Jupiter na Saturn ili zitoe energy kama jua na barafu iliyopo Neptune's, uranus na Pluto ziweze kuondoka
 
Wazo zuri na hupaswi kukata tamaa.Lakini Kwa Ushauri wangu nivyema Gharama za Muda na pesa basi tujikite kwenye Changamoto mama katika taifa letu
 
Hakuna ice giants wala gas giants hamnaga kitu kama hicho

Hizo gas giants ndo nyota zenyewe, na hizo ice giants ziko hivyo kwa sababu nyota ambazo zinatakiwa zitoe energy haziko active

Mfano sababu ya neptune, uranus, na Pluto kuitwa ice giants ni kwa sababu Saturn na Jupiter ambzo ni star kama ilivyo jua haziko active yaani fusion activities ya kuichoma hydrogen na Helium inayozalishwa haiko active

Ndo maana moja ya kazi ya Tanzania space colonisation mission ni kuactivate Jupiter na Saturn ili zitoe energy kama jua na barafu iliyopo Neptune's, uranus na Pluto ziweze kuondoka
Sawa tuseme inawezekana sayari kutengenezwa na hzo dust za kwenye accretion disk, ila si bado hzo sayari zitakuwa zina izunguka black hole, ambayo bado ni kazi ya nature hakuna kazi ya artificial hapo
 
Blackholes inafanywa kuwa nyota iko mechanism kumbuka ile hole ndo inatumika kutolea hydrogen na Helium

Nyota kwenye early stage inaanza kama blackholes
 
Hakuna ice giants wala gas giants hamnaga kitu kama hicho

Hizo gas giants ndo nyota zenyewe, na hizo ice giants ziko hivyo kwa sababu nyota ambazo zinatakiwa zitoe energy haziko active

Mfano sababu ya neptune, uranus, na Pluto kuitwa ice giants ni kwa sababu Saturn na Jupiter ambzo ni star kama ilivyo jua haziko active yaani fusion activities ya kuichoma hydrogen na Helium inayozalishwa haiko active

Ndo maana moja ya kazi ya Tanzania space colonisation mission ni kuactivate Jupiter na Saturn ili zitoe energy kama jua na barafu iliyopo Neptune's, uranus na Pluto ziweze kuondoka
Jupiter haijaweza kuwa nyota sababu uzito wake ni mdogo kuiwezesha kufanya fusion. Labda utaiongezea uzito? Pia tuseme umefanikiwa kuifanya iwe jua, huoni utaihatarisha dunia kwa mionzi?
 
Blackholes inafanywa kuwa nyota iko mechanism kumbuka ile hole ndo inatumika kutolea hydrogen na Helium

Nyota kwenye early stage inaanza kama blackholes
Nyota inahitaji nuclear fusion ili ifanye kazi na inavyojulikana hakuna kitu kinachoweza kutoka nje ya black hole hivyo sidhani kama kuna condition yoyote ya kuruhusu hyo fusion ndani ya black hole

Nyota kwenye early stage sidhani kama inaanza kama black hole, kumbuka black hole inakuwa na mass kubwa inaweza kufika hata mara elfu zaadi ya nyota hivyo nyota itawezaje kuwa kama black hole pia hakuna singularity kwenye hyo protostar
 
Blackholes zinatofautiana size nyingine kubwa sana, nyingine zinaudogo wa kawaida ila sio udogo wa kama sayari
 
Tunafahamu kwenye universe kuna sayari nyingi sana, nyota, satellite za asili, vimondo n.k
Hakuna mwenye hatimiliki ya space ni ya wanadamu wote bila kujali rangi yao

Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha space colonisation mission na itakua na kazi zifuatazo
  1. Kutengeneza artifical ozone layer za sayari, na satellite za asili, na kumbuka magnetic field na ozone layer ni kitu kimoja hamna tofauti yeyote ile
  2. Kutengeneza new star system like solar system from sratch
  3. Kutengeneza sayari from scratch
  4. Kuactivate satellite za asili ili ziweze kufacilitate mawasiliano
  5. Kuactive nyota kama Jupiter, na Saturn ambazo haziko active na ziwe active ili barafu kule uranus, neptune na Pluto ziweze kuondoka, na hii itaenda sambamba kwa kuongeza layer nyingine ya ozone layer hapa duniani ili kuendana na mabadiliko ya Saturn na Jupiter ambazo zitakuwa active
Na amini sisi kama nchi ya Tanzania ni wakati wetu wa kuanza kutumia fursa ambazo zipo

Nadhani unafahamu Wananchi wako baadhi ya maeneo wana share huduma ya maji ya kunywa na mifugo yao. Nadhani busara ilitakiwa kukuongoza kumaliza au hata kupunguza changamoto ndogo ndogo za watu kuliko kubaka mambo makubwa usiyoyaweza. Asante rais wa baadae.
 
Blackholes zinatofautiana size nyingine kubwa sana, nyingine zinaudogo wa kawaida ila sio udogo wa kama sayari
Ndio, ila black hole iliyo na dust (accretion disk ) ambayo kimuonekano inafanana na protostar lazima iwe na mass kubwa kutokana na kuchukua hzo matter zinazolizunguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom