Ntaanzisha Tanzania Space Colonization Mission (TaScom)

Ntaanzisha Tanzania Space Colonization Mission (TaScom)

Nyota inahitaji nuclear fusion ili ifanye kazi na inavyojulikana hakuna kitu kinachoweza kutoka nje ya black hole hivyo sidhani kama kuna condition yoyote ya kuruhusu hyo fusion ndani ya black hole

Nyota kwenye early stage sidhani kama inaanza kama black hole, kumbuka black hole inakuwa na mass kubwa inaweza kufika hata mara elfu zaadi ya nyota hivyo nyota itawezaje kuwa kama black hole pia hakuna singularity kwenye hyo protostar
UNAYAJUA HAYA MAMBO MKUU👏👏👏
 
F=GM1M2/R2
Ndo ulivyodanganywa na kukaririshwa hongera
Kumbe huna akili sasa hiyo elimu yako ya anga umeipata wapi kama sio kutoka kwa wanaume wenzio kama kina Newton ambao ni hao hao kina NASA wanatumia formula zao kufanya mabalaa duniani??Kumbe ni upuuzi tu unatuletea humu

F=GM1M2/R2 kama sijasahau na derives yake ipo
 
Kwani elimu ya anga ni hatimiliki ya NASA hao NASA WENYEWE WAMECOPY KUTOKA KWA WAGIRIKI

WAGIRIKI NA JAMII NYÌNGINE WALITUMIA ASTROUNAT KUTENGENEZA CALENDER WAKATI HAKUNA NCHI INAITWA MAREKANI- ETHIOPIA NAO WANA-CALENDA INAMIAKA ZAIDI ZA 2000+ WAKATI HUO INAANZA HAKUKUA NA KITU KINAITWA NASA

NDO MAANA NAKUAMBIA UKO KWENYE GEREZA LA FIKRA KILA WANACHOKUAMBIA NASA NI UKWELI WAMEKUDANGANYA ETI NYOTA YA MARS NA UZITO WAKE HILI HALI HAWAJAHI KUFIKA NA HAKUNA CHOMBO KILICHOFIKA KARIBU NA SATURN AU JUPITER VYOTE VIMEISHIA KWA MBALI SANA SASA UNAPIMAJE UZITO
ZINDUKA USINGIZINI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom