Ntaanzaje kuichukia CCM!!


M

minze manonu

Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
50
Likes
1
Points
0
Age
28
M

minze manonu

Member
Joined Nov 27, 2013
50 1 0
Hivi inawezekana kweli mtoto aliyezaliwa katika familia iliyovuna mali nyingi kutokana na ccm kuwa madarakan akaichukia na kvamani iondoke madarakan, sidhan kama inawezekana maana kuendelea kuwepo kwa ccm madarakan ndio faida kwao, maana wanakula na
kusaza kutokana na uwepo wa ccm, ukikuta mwanaccm aliyevuna kutokana na ccm anaichukia ccm basi ujue ipo jambo hapo.

Watoto hawa wengi wao huwa hawana hata huruma kwa watz wenzao zaidi wamekuwa wakipigania kuwekwa ktk nafasi flan, kama babu yako, baba yako hakuwa hata mwenyekiti wa serikali ya ccm ni vigumu san kupata nafasi katika kichuguu hicho.
 
J

jidodo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
1,176
Likes
1
Points
0
J

jidodo

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
1,176 1 0
Labda ni kichaa tu ndiye mwenye kuichukia CCM.
 
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
3,964
Likes
686
Points
280
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
3,964 686 280
CCM imekufanya nini mpaka uichukie?
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,656
Likes
48,555
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,656 48,555 280
Labda ni kichaa tu ndiye mwenye kuichukia CCM.
wameanza kujitokeza , kujitegemea ni kazi ngumu sana ! lakini unyonyaji ni rahisi mno , sasa kimbembe ni pale mrija unapokatwa !
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,393
Likes
251
Points
160
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,393 251 160
hayo ni matusi kwa wazazi wako kwahiyo kwenu mkiwa mnakula mnashiba kwa chakula alichokuletea babayako na mama yako unawazarau wengine huna maana.
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,393
Likes
251
Points
160
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,393 251 160
bavicha mawazo yao kama ya mlevi vile.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,656
Likes
48,555
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,656 48,555 280
utafiti wangu humu JF unaonyesha kwamba watetezi wengi wa ccm kwenye jukwaa hili ni watoto wa viongozi , lakini cha kushangaza sasa , hakuna hata mtoto mmoja wa MJUMBE WA NYUMBA KUMI !
 
K

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
485
Likes
8
Points
0
K

kajansi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
485 8 0
bavicha mawazo yao kama ya mlevi vile.
Kamwangalie dada yako anakaribia kujifungua kwenye kitanda cha miti hapo kijijini kwenu kwenye kituo cha afya alafu uje hapa uanze kubofya keyboard! NYAMBAFU.
 
Mwadunda

Mwadunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Messages
1,156
Likes
311
Points
180
Mwadunda

Mwadunda

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2013
1,156 311 180
Siwezi kuichukia CCM hata siku moja ila masilahi kwa mlipa kodi lazima izingatiwe.
 
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,144
Likes
545
Points
280
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,144 545 280
Kwa hiyo hata mzazi wako akizeeka unamchukia?

CCM haidharauliwi kwa umri wake bali kwa tabia zake za kulea na kufuga kila aina ya madhalimu. wauza dawa za kulevya, majangili, mafisadi, majambazi,wabakaji, wang`oa kucha na meno, ongeza mwenyewe. Uzee wa ccm ni wa kukosa matunzo si vinginevyo.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,966
Likes
15,457
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,966 15,457 280
Heri nikae kimya nipite zangu.....naipenda jioni yangu
 
K

Kembaki

Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
63
Likes
2
Points
15
K

Kembaki

Member
Joined Aug 25, 2010
63 2 15

CCM haidharauliwi kwa umri wake bali kwa tabia zake za kulea na kufuga kila aina ya madhalimu. wauza dawa za kulevya, majangili, mafisadi, majambazi,wabakaji, wang`oa kucha na meno, ongeza mwenyewe. Uzee wa ccm ni wa kukosa matunzo si vinginevyo.
Wee meno yako hayooooooo na kucha hizooooooo!!!!!!!!!!!
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
5
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 5 135
hayo ni matusi kwa wazazi wako kwahiyo kwenu mkiwa mnakula mnashiba kwa chakula alichokuletea babayako na mama yako unawazarau wengine huna maana.
kama chakula chenyewe wanaiba..
 

Forum statistics

Threads 1,252,217
Members 482,048
Posts 29,800,723