ccm haidharauliwi kwa umri wake bali kwa tabia zake za kulea na kufuga kila aina ya madhalimu. Wauza dawa za kulevya, majangili, mafisadi, majambazi,wabakaji, wang`oa kucha na meno, ongeza mwenyewe. Uzee wa ccm ni wa kukosa matunzo si vinginevyo.
hapa umenena vema mkuu