Kweli? Hajastaafu maana umri mhh,Muhete nilimkuta Tarkwa mwaka 2008Lungwecha bado yupo Nsumba hadi leo hii
Nilimtangulia darasa moja,akikaa Mondlane room four.Mzee wa bao la mkono kasoma Nsumba 1994-1997
Adam Ngobela bado yupo? Wakati wetu box ilikuwa 1212 Mwanza.Wenye picha za sehemu mbalimbali hapo nsumba wekeni hapa tujikumbushe
Bado hajastaafuKweli? Hajastaafu maana umri mhh,Muhete nilimkuta Tarkwa mwaka 2008
Kuna wanafunzi form six ya 2010 walipewa suspension wiki moja kabla ya NECTA, waliifanya pepa wanatokea mtaani.Zakeo Zuma alinipga suspension ya miezi 6. Siku naludi nikachelewa siku moja akaniongeza tena miezi 6 akiwa na Kobuteba. Wakati huo Nsumba ilikua zaidi ya Jeshi kipindi cha HM Msasa na Zuma msaidizi. Chakula kibovu sn ole wako uongee Zuma na Msasa wame jaza puppets wapata taarifa utajuta. Tuliwahi fanya mgomo Msasa akaondolewa baadhi ya mateso yakapungua. Wakati huo, GS Kateisaki alikua na power zaidi ya Mwalimu. Nsumba sintasahau jmn.
Matokeo ya NECTA form 4 ya 2007 yalikuwa mabaya.Mi nimepita pale enzi za Mbanga na machemical
Atakuwa alidanganya umri,maana 83-96 alikuwa mzee tayariBado hajastaafu
Mbanga nilimkuta amekaribia kustaafu, nimesoma muhula mmoja kwenye uongozi wake halafu kastaafu, Machemical naye nilimkuta lakini akili yake ilikuwa imeshavurugika baadae alikuja kufarikiMbanga na Machemical nmewakuta ila walikua wanafundisha O' level nimeingia pale kwa ajili ya masomo ya Adv. Haikua shule ile bali Somalia.
Mkuu umenikumbisha mbali sana, nilikuwa ni mimi, Emmanuel Matinde, na machalii wengine. Ilikuwa kazi ngumu sana kujisomea mwenyewe mtaani halafu uje kupiga pepa tena la mwisho, NECTAKuna wanafunzi form six ya 2010 walipewa suspension wiki moja kabla ya NECTA, waliifanya pepa wanatokea mtaani.
Zakeo na makamu wake Mwakisimba sasa hivi ni moto wa kuotea mbali hapo Nsumba
Fundi wa Soka fabregas daah kuna game moja tuliendaga Saut tukawapiga Baso 3_0,,alafu hio middle alkua anasaidiana na fundi mwenzie anaitwa Jeremiah hahaha,,these memories will never fade in my mind!Unamjua Benjamin charles a.k.a Fabregas?
Kama tulvokua tunawaita wadudu wa kwenye yale maharage yetu jina la nganza !anyway nlkua nkitaka kuja misa jpil pale nganza siku hio lazma ninyooshe nguoDaaah. Nimesoma nganza. Nakumbuka tulikuwa tukienda disco Bwiru boys nsumba wanakasirikaaa.
Tulikuwa tunawaita manyani......those memories. Dah