Nsumba Secondary School!-Mwanza

Nyuma ya parade
 
Attachments

  • nsumba.jpg
    nsumba.jpg
    50.3 KB · Views: 212
Ubora wa wana nsumba na uniform
 
Attachments

  • large.jpg
    large.jpg
    48.1 KB · Views: 234
Wenye picha za sehemu mbalimbali hapo nsumba wekeni hapa tujikumbushe
 
Zakeo Zuma alinipga suspension ya miezi 6. Siku naludi nikachelewa siku moja akaniongeza tena miezi 6 akiwa na Kobuteba. Wakati huo Nsumba ilikua zaidi ya Jeshi kipindi cha HM Msasa na Zuma msaidizi. Chakula kibovu sn ole wako uongee Zuma na Msasa wame jaza puppets wapata taarifa utajuta. Tuliwahi fanya mgomo Msasa akaondolewa baadhi ya mateso yakapungua. Wakati huo, GS Kateisaki alikua na power zaidi ya Mwalimu. Nsumba sintasahau jmn.
 
Kuna wanafunzi form six ya 2010 walipewa suspension wiki moja kabla ya NECTA, waliifanya pepa wanatokea mtaani.
Zakeo na makamu wake Mwakisimba sasa hivi ni moto wa kuotea mbali hapo Nsumba
 
Mi nimepita pale enzi za Mbanga na machemical
Matokeo ya NECTA form 4 ya 2007 yalikuwa mabaya.
Mbanga alienda safarini aliporudi akakuta matokeo yashatoka, parade asubuhi akatuuliza , nini kimesababisha watu wengi kufeli? Tukamjibu walimu hawafundishi.
Akasema bora niwagawie wanafunzi mishahara yao maana hawataki kufanya kazi.
Mbanga alikuwa peace japo nimeshuhudia uongozi wake miezi michache kabla hajastaafu
 
kuna teacher kaboja( I was a Soldier )... huyu jamaa fimbo yake hutasahau wiki nzima, chapwa na wote sio huyu!!! kuna markson nae alikuwa noma discipline master....
 
Mbanga na Machemical nmewakuta ila walikua wanafundisha O' level nimeingia pale kwa ajili ya masomo ya Adv. Haikua shule ile bali Somalia.
Mbanga nilimkuta amekaribia kustaafu, nimesoma muhula mmoja kwenye uongozi wake halafu kastaafu, Machemical naye nilimkuta lakini akili yake ilikuwa imeshavurugika baadae alikuja kufariki
 
Kuna wanafunzi form six ya 2010 walipewa suspension wiki moja kabla ya NECTA, waliifanya pepa wanatokea mtaani.
Zakeo na makamu wake Mwakisimba sasa hivi ni moto wa kuotea mbali hapo Nsumba
Mkuu umenikumbisha mbali sana, nilikuwa ni mimi, Emmanuel Matinde, na machalii wengine. Ilikuwa kazi ngumu sana kujisomea mwenyewe mtaani halafu uje kupiga pepa tena la mwisho, NECTA
 
Daaah. Nimesoma nganza. Nakumbuka tulikuwa tukienda disco Bwiru boys nsumba wanakasirikaaa.
Tulikuwa tunawaita manyani......those memories. Dah
Kama tulvokua tunawaita wadudu wa kwenye yale maharage yetu jina la nganza !anyway nlkua nkitaka kuja misa jpil pale nganza siku hio lazma ninyooshe nguo

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom