Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
hahaha bweni la mkapa ilkua daika 0 tu kutorokea Swea,,nakumbuka by 2009 nafika nsumba advance yalkuepo tayar hayo mabweni mawili la mkapa na lile jingne kwa juu yake (nmelisahau jina) yenye structure tofauti na yale mengine ya juuKulijengwa mabweni mengine? Ndo yakaitwa Mkapa na Mengi? Au yalibadilishwa majina yale ya zamani kama Mondlane...![]()
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
ebana kiliwaka balaa!mpaka mamwela wakaja kutulipua na baruti zao