Nsumba Secondary School!-Mwanza

Sijasoma Nsumba ila hawa Braza angu kapita Hapo....Aseeh miaka ya 2005 km sikosei Vijana waifanya fujo hapo wapongo wakawadaka wa kutosha tu nimeingia BUTIMBA Magereza nakuta Vijana wamesweka mpaka Huruma....

KIMEO CHANGU
 
Zakeo Zuma alinipga suspension ya miezi 6. Siku naludi nikachelewa siku moja akaniongeza tena miezi 6 akiwa na Kobuteba. Wakati huo Nsumba ilikua zaidi ya Jeshi kipindi cha HM Msasa na Zuma msaidizi. Chakula kibovu sn ole wako uongee Zuma na Msasa wame jaza puppets wapata taarifa utajuta. Tuliwahi fanya mgomo Msasa akaondolewa baadhi ya mateso yakapungua. Wakati huo, GS Kateisaki alikua na power zaidi ya Mwalimu. Nsumba sintasahau jmn.
Enzi za mgomo huo mwaka huo nami nilikuwepo hapo Nsumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma Nsumba ila hawa Braza angu kapita Hapo....Aseeh miaka ya 2005 km sikosei Vijana waifanya fujo hapo wapongo wakawadaka wa kutosha tu nimeingia BUTIMBA Magereza nakuta Vijana wamesweka mpaka Huruma....

KIMEO CHANGU
Kweli hilo tukio lilitokea, nilipoenda kuanza shule nilikuta athari zake hasa kwenye uharibifu wa majengo hususani madirisha kuvunjwa vioo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom