mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,925
- 8,440
Nimepata habari kuwa ndugu Nsubisi Mwakipunda ameaga duni,mwendazake huyu alikuwa kati ya waandishi wa habari waandamizi hapa nchini,amewahi pia kuwa mwandishi wa Waziri Mkuu miaka ya nyuma,mazishi yatafanyika kijijini kwake wilayani Kyela mkoa wa Mbeya.Mungu amulaze mahala pema,poleni wafiwa .