spiritual hero
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 354
- 64
Real!
Ni kwa vile majina yenyewe hapa kitalani.
Kwani kupiga disco kuna ubaya gani? Kila mtu anaweza kupiga disco? Unafikiri ni kazi rahisi? Ni wangapi walikuwa na kumbi za disco leo ni magofu? He is smart and intelligent hilo halina ubishi.
mafanikio ndio yanapina kiwango cha akili na werevu wa mtu. Kila mtu anaweza kupata degree, masters, na phd. Hizi elimu za darani zina formula moja tu kusoma vitabu vilivyoandaliwa, period. Ukivisoma vingi huku unalishwa na umetulia unatunukiwa vyeti, hakuna kitu unatakiwa kufanya zaidi ya kuigiza nini wenzako wameshafanya.
Ila ukiachwa porini bila fedha ama na fedha unatakiwa ujue utaziongeza vipi hapa hakuna kukariri inahitajika akili, ubunifu, maarifa na kufikiri out of the box. Yes he did it more tha 20 years na dico and he does very well.
Kwa hiyo unaweza kumuita Bakheresa muuza lamba lamba kwasabu tu hana lundo la vyeti vya darasani, wangapi wameshindwa kuwa yeye.
Ukisoma masoma masomao mengi duniani ni historia za wale waliofanya bila vitabu, Dr Isaac Newton, Gallileo, Dell, Bill gates, nk
Kina Mbowe ndio sababu ya vitabu vya biashara kuandikwa. TZ ingekuwa nchi inayotukuza kazi, ubunifu ufanyaji kazi na kujituma leo tunekuw ana vitabu vya maisha na mafanikio na kushindwa akina Salum Bakheresa, Kiswele, Ngorika, Mengi, Maburuki, Makosa -iringa, nk.
Tungesoma ni vipi mtu ambaye hajamaliza darasa la saba aliweza kuwa tajiri ungewa activate wote wanaoona bila shule kubwa kubwa hawezi kitu, tungesoma vitabu vya maprofessa vipi walifanikiwa wale wenye uwezo wa kukariri vitabu vingi wangejifunza baada ya kukariri kitabu inakupasa kufikiri nje ya kitabu ili kufanikiwa.
Badala ya kutumia hasira za umasikini kulaumu waliofanikiwa kwa kuwarushia maneno ya kashfa na kuonyesha usongo wa mawazo wengi waliokuwa nayo.
Ni kwanini basi wakija nchini watu kama JZ, kanye west, hayati Luck dube, Dell, Bill gates, Wacheza movies wa holl wood wenye fedha nyingi bila elimu msiwaone hawafai? Mbona vitabu vingi mnavyosoma ni maisha ya watu wasio na formal education bali uwezo mkubwa wa kufikiri na kutenda.
One day will understand. .... loading.
hivi kweli hana 1.2bn? si asme wamlipie! huu ni ukorofi tu, zile pesa alouza mafuso siangelipa deni!
Nashangaa kweli kazi tunayo huyu mbowe anamengi aliyofanya wala siyo mala yake ya kwanza atwambie vizuri.
Mbowe lipa hela za walalahoi acha kuleta porojo.
Rudi shule ili upanuke uwigo wa uelewa kwani elimu haina uzee.
Dawa ya deni kulipa,akalipe kama ana deni limesalia nasio kupiga porojo.
Business Entity Concept
In accounting we treat a business or
an organization and its owners as two
separately identifiable parties. This
concept is called business entity
concept. It means that personal
transactions of owners are treated
separately from those of the business.
Businesses are organized either as a
proprietorship, a partnership or a
company . They differ on the level of
control the ultimate owners exercise
on the business, but in all forms the
personal transactions of the owners
are not mixed up with the transactions
and accounts of the business.
Naona unaposikia jina la Mbowe tu kinyesi kinakubana!Mbowe lipa hela za walalahoi acha kuleta porojo.
ela zp sasa ambazo hajalipa??toa data kamili ya ela za wlala hoi ambazo bdo zko kwa mbowe
Kasome sakata la UDA na jumlisha na gharama ya safari moja ya Rais nje ya nchi na kisha rudi hapa utupe jawabu.Mbowe anaifilisi nchi
ela zp sasa ambazo hajalipa??toa data kamili ya ela za wlala hoi ambazo bdo zk o kwa mbowe
Mh. Sumaye wakati akiwa PM aliwahi kukopa hapo hapo million 50, je, alishalipa?
Business Entity Concept
In accounting we treat a business or
an organization and its owners as two
separately identifiable parties. This
concept is called business entity
concept. It means that personal
transactions of owners are treated
separately from those of the business.
Businesses are organized either as a
proprietorship, a partnership or a
company . They differ on the level of
control the ultimate owners exercise
on the business, but in all forms the
personal transactions of the owners
are not mixed up with the transactions
and accounts of the business.