NSSF yambambikia F. Mbowe deni, hii haikubaliki

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,336
1,500
Lakini akijibu hoja hiyo, Mbowe alisema kampuni zake zilikopa Sh milioni 15 kutoka NPF takribani miaka 25 iliyopita (kabla haijawa NSSF) na kwamba mkopo huo ulishalipwa.

Mbowe alisema kinachodaiwa ni riba inayotokana na serikali kukosea hesabukiasi cha kutojua wanadai kiasi gani, ingawa ameshalipa zaidi ya shilingi milioni 80 zikiwa ni mkopo na riba.

Mbowe, alisema mawaziri hao wameshindwa kujibu hoja ya msingi iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyewaita na kuwataja kwa majina baadhi ya mawaziri na `wabunge ombaomba' katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
 

onduru ogy

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,126
2,000
Lakini akijibu hoja hiyo, Mbowe alisema kampuni zake

zilikopa Sh milioni 15 kutoka NPF takribani miaka 25 iliyopita .ingawa ameshalipa zaidi ya shilingi milioni 80 zikiwa ni mkopo na riba.

80mill-15mill= 65mill.

Sijaelewa labda sijui mahesabu ya pesa!!

Nikope 15 nirudishe zaidi ya 80 ndani ya miaka 25 ..bado anaendelea kulipa au miaka ya kulipa haijaisha!!!!
 

aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
0
Mbowe ndiyo unataka kurukuka Deni broo maana hiki ulichopost hakieleweki kabisa

Kalipe Deni kwanza kaka
 

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,336
1,500
Lakini akijibu hoja hiyo, Mbowe alisema kampuni zake

zilikopa Sh milioni 15 kutoka NPF takribani miaka 25 iliyopita .ingawa ameshalipa zaidi ya shilingi milioni 80 zikiwa ni mkopo na riba.

80mill-15mill= 65mill.

Sijaelewa labda sijui mahesabu ya pesa!!

Nikope 15 nirudishe zaidi ya 80 ndani ya miaka 25 ..bado anaendelea kulipa au miaka ya kulipa haijaisha!!!!
Nini hujaelewa? Ndio mikopo ya Tanzania, sasa umeelewa 15M kuitwa Billioni?

Mbowe ndiyo unataka kurukuka Deni broo maana hiki ulichopost hakieleweki kabisa

Kalipe Deni kwanza kaka

Wapi kuna kuruka deni? Huu ni mkopo sio ombaomba kama wale wa mtaa wa Lumumba, na kasema amelipa zaidi 65M kama riba. Kaeleza wazi NSSF walikosea mahesabu ya riba. Inakupasa uende NSSF wakueleze ili uje na data bila hivyo jiunge na kabaka na ghasia majitaka.
 

onduru ogy

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,126
2,000
Achani uhuni..
Mbowe akope 15 million tshs wakati anaikopesha chadema mamia ya milioni!!
 

aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
0
Nini hujaelewa? Ndio mikopo ya Tanzania, sasa umeelewa 15M kuitwa Billioni?Wapi kuna kuruka deni? Huu ni mkopo sio ombaomba kama wale wa mtaa wa Lumumba, na kasema amelipa zaidi 65M kama riba. Kaeleza wazi NSSF walikosea mahesabu ya riba. Inakupasa uende NSSF wakueleze ili uje na data bila hivyo jiunge na kabaka na ghasia majitaka.

Kwa hiyo Mh Mbowe unalipa au unatokomea nazo au ?
 

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,726
2,000
yaani kuwa mesenja benki kuu anakopa pesa nyingi hivyo? hiyo pesa atakuwa alipiga mtei wakamalzana kwa kupewa mke, ndo maana anachomoa kulipa, inamuuma.
 

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000
yaani kuwa mesenja benki kuu anakopa pesa nyingi hivyo? hiyo pesa atakuwa alipiga mtei wakamalzana kwa kupewa mke, ndo maana anachomoa kulipa, inamuuma.
Nashangaa kweli kazi tunayo huyu mbowe anamengi aliyofanya wala siyo mala yake ya kwanza atwambie vizuri.
 

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,336
1,500
Acheni porojo amekopa 15M amelipa 80M NSSF imetengeneza 65M faida.

Ikumbukwe hili ni deni la biashara, sio ombaomba kama wale akina Lukuvi, ukijumlisha fedha alizotaja Lissu walizochukua kina Lukuvi kutoka NSSF zinafika zaidi ya 100M na hazirudishwi, ni fedha zetu tunakatwa kwenye mishahara halafu wabunge wa CCM wanakuja kutuhonga nazo. Mbowe Kakopa kalipa na riba kubwa. Nani mzalendo hapa?

Hatuwezi kuacha kuona fedha zetu za jasho zinagawanywa kama njugu, huku tukistaafu malipo ya uzeeni ni kiduchu na kuacha wastaafu wengi wanaishi maisha ya ajabu, dhiki, taabu nk.

NSSF iache mara moja kugawa fedha zetu kama sadaka, na wabunge wote waliochukua sandakalwa warudisehe haraka.
 

RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,865
1,500
mbowe hajalipa hata senti tano

kama Mbowe kampuni yake ilikopa 15m na ameshalipa so far 80m ambayo kimsingi ni riba ya zaidi ya 500% .... Mbowe anatakiwa aidai ATC $ 1,200,000.00 so far kutokana na $ 200,000.00 alizowakopesha.... Tusiishie kwa Mbowe Pekee; Sumaye alikopa 150 Million, Mkapa alikopa thru ANBEN 600M, Jumla ya Billion 30 zimekopeshwa kwa vigogo wa CCM! Tunataka kuona zikirejeshwa na riba ya 500% plus...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom