Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,167
Ha ha NSSF. Yaani ungekuwa uamizo wangu nisinge jiunga na mifuko ya kijamii. Yaani hawa wanatuona mafala sana. Baba yangu toka 2014 mpak leo hajaipwa pesa yake. At shida pesa haijatoka serikalini. Hivi wao si ndo wanaingia mkataba. Kwanini hizo pesa mnazo tumia pasipo mpango msilipe hao wazee huku nyie mkiendelea kuikopesha serikali. Na hivi riba wanayo pata baada ya makisanyo tunanufaika nayo vip. Maana mtu anayekatwa pesa yake 2010 thamani yake haitakuwa sawa na 2030.
Je kitu inaitwa money time value mnaichukuliaje?. Ushauri wangu hawa watu wawe wanaandika technical report na kufanya presentation kwa mkulu na wapewe KPI ili mtegaji ajulikane. Moyo unaniuma sana kama kuna wazee wanadai pesa yao afu watu wanajiongeza allowance .
Hili swala limefanya tunao isoma namba ni watoto wa hao wazazi na kufanya mzigo kiwa mkubwa.