NSSF update

diaz

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
80
Reaction score
9
Nafikiri hizi ni habari njema. Nime-confirm na staff mmoja wa nssf makao makuu. Kumbe jamaa wanahitaji kuajiri watu 200 kutoka katika ile interview tuliofanya tar 13 dec pale ifm
 
Mbona sasa hawatoi matokeo, kuhusu idadi ya watu wanao hitajika n jambo jema kama kwelivn 200,
 
Haahahhaahha duhhhhh watakuwa wamepunguza idadi huku mtaani maana ni shiidaahhh
 
Mungu atusaidie mambo ya upendeleo pamoja na udini yasiwepo
 
Mungu atusaidie mambo ya upendeleo pamoja na udini yasiwepo
MiMI SIHUSIKI BUT MUNGU WASAIDIE HAWA NDUGU JAMAA NA RAFIKI ZETU WAPATE HIYO AJIRA NSSF,KILA MTU ASHUKURU ASEME AMEN,WANAOSADIKI TUU NDO WATAKAO PATA SEMA AMEN
 
Wanaita lini wakuu kwa 2nd interview? Wasije wakaita tuu kwenye hizi tarehe za hija! Wachaga tunaenda kwetu.
 
Wanaita lini wakuu kwa 2nd interview? Wasije wakaita tuu kwenye hizi tarehe za hija! Wachaga tunaenda kwetu.

mzigo bado upo IFM haujakabidhiwa bado NSSF but wameshamaliza marking
 
MiMI SIHUSIKI BUT MUNGU WASAIDIE HAWA NDUGU JAMAA NA RAFIKI ZETU WAPATE HIYO AJIRA NSSF,KILA MTU ASHUKURU ASEME AMEN,WANAOSADIKI TUU NDO WATAKAO PATA SEMA AMEN

yaani unataka ndugu na jamaa zako tuu ndio wapate?...eeh mungu usiwapitishe ndugu na jamaa wa huyu mbaguzi..Ameen!
 
Nafikiri hizi ni habari njema. Nime-confirm na staff mmoja wa nssf makao makuu. Kumbe jamaa wanahitaji kuajiri watu 200 kutoka katika ile interview tuliofanya tar 13 dec pale ifm
staff kakwambia ???? acha zako wewe labda mlinzi ndio amekwambia huu uongo staff 200 0peration NSSF sio rahisi kihivyo wewe
subiri watu waitweee uone kama watafika hao 200.
then kama wewe ni msomi ingia kwenye website ya nssf isome vizuri financial statement yao uangalie kama ukuaji wao unaweza kuajiri watu 200
 
yaani unataka ndugu na jamaa zako tuu ndio wapate?...eeh mungu usiwapitishe ndugu na jamaa wa huyu mbaguzi..Ameen!
kalagabaho kwa sisi watanzania hata wewe kama sio ndugu ni rafiki au jamaa,u nikuitaje?hawa ndugu hili neno lina kosa?jamaa,rafiki sasa wewe ni nani kwetu sisi hapa wadau wa JF?
 
labda iwe 27 ila watu 200 ni nonsense,........... siku hii JF watu wanaandika sana makorokocho. Embu funguka, umejuaje 27?:confused2:
 
Mungu awasaidie sana. Maana kuna jamaa zangu pia nawaombea wapate. Hope kwenye hao mia mbili hawatakosekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…