MiMI SIHUSIKI BUT MUNGU WASAIDIE HAWA NDUGU JAMAA NA RAFIKI ZETU WAPATE HIYO AJIRA NSSF,KILA MTU ASHUKURU ASEME AMEN,WANAOSADIKI TUU NDO WATAKAO PATA SEMA AMENMungu atusaidie mambo ya upendeleo pamoja na udini yasiwepo
MiMI SIHUSIKI BUT MUNGU WASAIDIE HAWA NDUGU JAMAA NA RAFIKI ZETU WAPATE HIYO AJIRA NSSF,KILA MTU ASHUKURU ASEME AMEN,WANAOSADIKI TUU NDO WATAKAO PATA SEMA AMEN
Ameeen
Wanaita lini wakuu kwa 2nd interview? Wasije wakaita tuu kwenye hizi tarehe za hija! Wachaga tunaenda kwetu.
MiMI SIHUSIKI BUT MUNGU WASAIDIE HAWA NDUGU JAMAA NA RAFIKI ZETU WAPATE HIYO AJIRA NSSF,KILA MTU ASHUKURU ASEME AMEN,WANAOSADIKI TUU NDO WATAKAO PATA SEMA AMEN
mzigo bado upo IFM haujakabidhiwa bado NSSF but wameshamaliza marking
staff kakwambia ???? acha zako wewe labda mlinzi ndio amekwambia huu uongo staff 200 0peration NSSF sio rahisi kihivyo weweNafikiri hizi ni habari njema. Nime-confirm na staff mmoja wa nssf makao makuu. Kumbe jamaa wanahitaji kuajiri watu 200 kutoka katika ile interview tuliofanya tar 13 dec pale ifm
kalagabaho kwa sisi watanzania hata wewe kama sio ndugu ni rafiki au jamaa,u nikuitaje?hawa ndugu hili neno lina kosa?jamaa,rafiki sasa wewe ni nani kwetu sisi hapa wadau wa JF?yaani unataka ndugu na jamaa zako tuu ndio wapate?...eeh mungu usiwapitishe ndugu na jamaa wa huyu mbaguzi..Ameen!
MiMI SIHUSIKI BUT MUNGU WASAIDIE HAWA NDUGU JAMAA NA RAFIKI ZETU WAPATE HIYO AJIRA NSSF,KILA MTU ASHUKURU ASEME AMEN,WANAOSADIKI TUU NDO WATAKAO PATA SEMA AMEN