Ni nanni anasema returns from real estate ni kubwa zaidi katika jiji la Nairobi kuliko Dar? Kama hujatafiti tafadhali kaa kimya.π Maeneo mengi katikati ya jiji la Nairobi, kodi zake ni Kshs 50 per square foot (which is KShs 564psm) au $7.5(au karibia hio) per square metre. Lakini Dar tunazungumzia rental levels za πhata kwa maofisi mazee zee kama IPS, Extelcoms na Investment House. Ofisi vimada (new quality office space) zinaringa kwenye $18 psq.m. Na ndio maana utaona jiji linatitimuka kwa shughuli za uwekezaji katika majengo, angalia Garden Avenue yote, au kaa popote gorofani uone jinsi Dar inavyochangamkia hiyo demand/price kubwa.
Nadhani NSSF anakwenda Nairobi kwa sababu nyingine, labda diversificaion on geographical basis, lakini siasa inaweza ikawa sababu nyingine.
Jengo la Gorofa 26 kwa $23M, MHHHHH sijui maana ni nadra sana kwa mashirika yetu ya UMA kujenga kwa bei che namna hio( sisemi haiwezekani) maana ukiangalia jengo la BWP pale mtaa wa Azikiwe, lilitegemewa liwe tayari kwa around $20m lakini nahisi litakuwa limekuwa around $50m, hata PPF Tower kwa wakati ule lilimalizika around $20m, nina wasiwasi na hizi figures. Pengine wanataka ionekane after all sio ghali sana, na kama gharama zitadhihirika ni kubwa baadae, basi wataweza kujieleza wakati huo na sio sasa.
Mungu iokoe Tanzania katika makucha haya! π