celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Lakin mbona ninasikia baadh ya wilaya wanalipwa zote? I la mm nilikua na kapesa kangu na madai yangu niliyaelekeza ubungo plaza ninapata 33.3 kila mwez nduguNssf wanaboa kitu kimoja tu hii issue ya 33.3% yao. Yaani hawakupi hela yako yote wanakupa kidogo kidogo tena for 6 months.
Sent using Jamii Forums mobile app