shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Majungu @ work
Hili gazeti liko chini ya mmiliki mpya mwenye malengo ya mbaliNyuzi za namna hii hazitusaidii sana moderator kama nia ni kuelimisha jamii. Kiukweli uzi huu una nia ya kutangaza gazeti.JF kueni makini sana,these guys are taking you for a ride.
Diranusemi imegusa nssf kihereheree mod awaendeshwi NA mihemukoNyuzi za namna hii hazitusaidii sana moderator kama nia ni kuelimisha jamii. Kiukweli uzi huu una nia ya kutangaza gazeti.JF kueni makini sana,these guys are taking you for a ride.
Hiyo mi ripoti ya ukaguzi 2014/15 hayo madudu yalifukunyuka,nimesoma hilo gazeti kama ni kweli ni balaaHilo gazeti limebeba majungu. We Dau katoka juzi, MD hajateuliwa, hayo mahela nani naidhinisha, halafu nani huyo ambaye hajitaki aidhinishae hela hovyo wakati jicho lote la ikulu saizi lipo pale. Watanzania jamani.......
Mungu wangu nimeisomaa hiyo gazeti ni noma,hivi Nssf ni wakulima?halafu kuna shamba walinunua mkuranga kwa ndg yake dau kwa bilioni 8 eti kuzalisha Umeme!!!!!bilioni 8 si unawezaleta kununua ardhi ya mkoa wote wa simiyu!!RIP NSSFHiyo mi ripoti ya ukaguzi 2014/15 hayo madudu yalifukunyuka,nimesoma hilo gazeti kama ni kweli ni balaa
Huo mradi wa hotel mwz ni ufisadi mtupu hiyo project budget yake ni zaidi ya 40bn....kwa mwz ni ngumu kurudishwa hela heri wangejanga dar hiyo hela ingerudi ....mwz sio jiji ambalo liko busy kibiashara mtu aje kulala hotel room ya gharama ..istoshe wafanyabiashara wa kimataifa wanakuja mwz ila sio kma wanavyofika dar kila mara....hiyo project y hotel sio kabisaYani ananunua viwanja sijui kigamboni sijui mwanza kwa dollar tu...dola milioni 600....dola milioni....sijui ananunua London au wapi...yani bei zinapandishwa watu wapige maela...na hiyo ni report ya CAG...na wanasema alikuwa ana bypass board ya NSSF...kama kweli hili nalo jipu....
Ni kujastify 10% na sii zaidiHuo mradi wa hotel mwz ni ufisadi mtupu hiyo project budget yake ni zaidi ya 40bn....kwa mwz ni ngumu kurudishwa hela heri wangejanga dar hiyo hela ingerudi ....mwz sio jiji ambalo liko busy kibiashara mtu aje kulala hotel room ya gharama ..istoshe wafanyabiashara wa kimataifa wanakuja mwz ila sio kma wanavyofika dar kila mara....hiyo project y hotel sio kabisa