Kituli cha nyama
Member
- Sep 29, 2018
- 45
- 18
Nssf huwa mnalazimisha watu kuweka pesa kwenye mifuko yenu, Manager mmoja wa Tukuyu alikuwa mkali kupitiliza kiasi japo ukali wake ulikuwa hauna maana coz alikula pesa za wachangiaji fulani hadi leo hazijalejeshwa,
Alipoambiwa hawa watu ni vibarua wa muda alilazimisha wapeleke michango akimaanisha hata kibarua akifanya siku moja apelekewe michango yake. Miaka imepita vibarua wanahitaji pesa zao hamna hata habari nao.
Kuweni na huruma basi wapeni hela zao ziwasaidie. Wengine walitamani ziwasaidie mashambani lakini ndo hivyo muda umeisha.
Wapeni watu hela zao jamani mbona tunakomoana sana kama vile wengine ni watanzania wengine waburundi?
Sent using Jamii Forums mobile app