Nssf na sheria za Tanzania!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nssf na sheria za Tanzania!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mtemiwao, Apr 1, 2011.

 1. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna habari ziliandikwa na gazeti la MWANANCHI jnne kwamba wafanyakazi 40 wa mgodi wa geita walifoji vielelezo na kujipatia mamilioni toka nssf huku wakiendelea na kazi kinyume cha sheria iliyoanzisha mfuko huu,habari zinaeleza hawa watu hawajachukuliwa hatua yoyote pamoja na kujulikana pengine kwa kuogopa ukwasi wao au madaraka waliyonayo kimgodi,naomba wataalam wa sheria hapa jf watudadavulie mtu mwenye kutenda kosa hili anaweza kabiliwa na adhabu gani?
   
Loading...