NSSF na MANJI


Your best year is the year when you decide your problem is your own. You don't blame them to your parents, to your country, to your president or the Ecology.
Its when you decide to live your destiny and fight. Author simkumbuki
 

Your best year is the year when you decide your problem is your own. You don't blame them to your parents, to your country, to your president or the Ecology.
Its when you decide to live your destiny and fight.
Author simkumbuki wajame
 

hamna plot ya bil 10 tz.

wakati huo hayo yote yanaendelea watu wanaolipa NSSF wanazungushwa na madai yao, watu wanaolipa NSSF wanaomba kutumia malipo yao as collaterall hawapati, wafanyabiashara wakubwa kibao wanaomba mikopo hawapewi.
labda na wewe ukajaribu kuomba hiyo bil 10

manji lazima awe genius yani anaweza kuuza jengo la bil 10 kwa bil 50
 

Vile viwanja vilikuwa Mali ya NAFCO (HEKA 700) kipindi kile cha mashirika ya umma. KATIBU MKUU wa CCM FISADI Makamba ndie akampatia pande mr MANJI (ila na makamba yumo) kipindi kile akiwa mkuu wa mkoa wa DSM. Ndoa ya manji na Makamba haikuanza leo imeanza siku nyingi na ndio kipindi kile manji alitaka kupewa na ubunge wa kigamboni.

Kusema ukweli ukiangalia CCM hakuna aliyemsafi, ila MAKAMBA ni mchafu kupindukia basi tu, lakini ndio huyo katibu mkuu wa chama.

Kwa hiyo habari ndio hiyo mali ilitoka NAFCO ikaenda kwa manji+makamba sasa ina rudi NSSF.
 

Serekali imeshindwa kuwapatia NSSF ardhi mpaka wanunue na tumeambiwa upo mpango wa kuendeleza kigamboni waliotengeneza master plan hiyo hawakutenga maeneo kwa taasisi za umma ? Ipo kazi !!
 

Ni biashara nzuri kwa wenye uwezo, angeshindwa uza jengo lingemchachia na kupigwa mnada na WALIOMKOPESHA.

Ila hapo wanunuzi sijui walishindana na mnunuzi gani mwingine, maana kama walikua wao tu wangeweza teremsha bei kwa sana tu maana walimwachia faida kubwa mno. Kujenga usumbufu bwana, hao wanunuzi lazima waliogopa usumbufu wa kujenga wao wenyewe.

Pia yawezekana kabisa hao walionunua nao walikopa pesa benki kwa ajili ya ununuzi - mambo haya si rahisi rahisi na tukiwa na waTZ wengi wanaoyaweza sawa sawa na ndio uchumi wetu utapaa kwa sana.
 

Yes kupewa mkopo bil 10 lazima uwe genius kwa jili ya kumwondoa hofu mkopeshaji, wakati mwingine kwa imani aliyonayo anakukopesha hizo bilioni anaona kama ni milioni tu. Ni kweli bil 10 hawezi kopeshwa kila mtu ama kila mfanyabiashara mkubwa, kwani wote hawakuomba mkopo kwa mradi huo mmoja ambao wakopeshaji waliona utalipa. Hata hivyo ushawishi kibiashara unaweza tofautiana toka mtu mmoja mpaka mwingine hata kama wote ni wafanyabiashara wakubwa.
Alijenga lini na kuuza lini, inaweza leta tofauti kubwa sana ktk bei na ni kati ya vitu wafanyabishara wanaviangalia. Je Manji alikua anahaha kutafuta mnunuaji ama wannunuaji waliomba kumhamisha, vyote hivyo huathiri bei. Halafu kama wanunuaji wanajua kabisa kua hilo jengo litajilipa kwa miaka kumi tu, basi ni wini wini kwa kila mmoja. Na inawezekana kabisa hao wanunuaji nao walikopa pesa ya kununulia toka sehemu nyingine, nk - mambo haya si picha rahisi rahisi.
 

Ccm ni chama cha mafisadi kweli,,hata huyo Manji wao ndio walikuwa wanampigia mapande ktk dili zote
 
Tangu afukuzwe naona threads zinazomuhusu Manji zimefukuliwa hapa jamvini!
 
Tangu afukuzwe naona threads zinazomuhusu Manji zimefukuliwa hapa jamvini!
Hii inaonesha ni jnsi gani ccm walivyokuwa wanapiga deal na manji...leo hii wamemgeuka

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…