Sijakuelewa, je kwa anayechukua cheque? Mfano mtu amepangiwa kwenda kuchukua cheque tarehe 24 hawezi kupata?
hiyo watakujibu january tu. wanawalaumu ttcl. kwanini wasitumie network nyingine? voda tigo airtel raha et al.
wazembe tu hawa, usipoteze muda.
mkuu unaushahidi? au pumba na chuki zako? we want evidence otherwise to hell.Halafu Dau amekazana kuhonga wahariri. Kuna kitu anaficha
Katika mifuko ya jamii mibovu na yenye watu mizigo wasiojua kabisa customer care ni NSSF,nadhani ni kwasababu hawastrugle kutafuta pesa,huwa zinawafata zenyewe ndio maana wanajisahau sana,shirika la kipuuzi kabisa lileHuu mfuko umekuwa kero kwa watumiaji. Sijui uteuzi wa watendaji wake ukoje ila unanipa shaka.
Nimefika mara kadhaa ktk ofisi zao, majibu yao mafupi hayana mantiki ukihoji zaidi utaambiwa "jibu ndio hilo".
pamoja na dharau, hawa watendaji ni wavivu na wazembe.
acha nitoe mfano hai.
kwa takribani wiki au zaidi NSSF Kinondoni iliyopo Ubungo hakuna network. huu ni uzembe wa hali ya juu. kwanza walipaswa kuwa na redundancy. pili walipaswa wawe wamepata mbadala wa ttcl network.
Hawashughulikii kikamilifu kwa kuwa ni wavivu. wanafurahi kuvuna bila kupanda.
kwa sababu ya uzembe huu wateja hawataweza kuchukua pesa hadi mwakani. Lini? haijulikani. mpaka system irudi ndio jibu lao.
Lini NSSF Mtajifunza kuwajibika. kodi zetu ndio mishahara yenu ati!
kaka sisi tunaondika ni wahanga wa hii kitu - hatumchukiii mtu ila wafanye kazi walizoomba. Payment gani inakaa zaidi ya wiki 6 hadi 8 guys!! Yangu mimi ina wiki ya 6 na nimeambiwa nikaangalie 4th January.Hivi najiuliza, 'is this possible?'