HT
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,897
- 414
Huu mfuko umekuwa kero kwa watumiaji. Sijui uteuzi wa watendaji wake ukoje ila unanipa shaka.
Nimefika mara kadhaa ktk ofisi zao, majibu yao mafupi hayana mantiki ukihoji zaidi utaambiwa "jibu ndio hilo".
pamoja na dharau, hawa watendaji ni wavivu na wazembe.
acha nitoe mfano hai.
kwa takribani wiki au zaidi NSSF Kinondoni iliyopo Ubungo hakuna network. huu ni uzembe wa hali ya juu. kwanza walipaswa kuwa na redundancy. pili walipaswa wawe wamepata mbadala wa ttcl network.
Hawashughulikii kikamilifu kwa kuwa ni wavivu. wanafurahi kuvuna bila kupanda.
kwa sababu ya uzembe huu wateja hawataweza kuchukua pesa hadi mwakani. Lini? haijulikani. mpaka system irudi ndio jibu lao.
Lini NSSF Mtajifunza kuwajibika. kodi zetu ndio mishahara yenu ati!