serengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 486
- 362
Hawa Nssf kwa nini hawataki kutoa FAO LA mkupuo, pamoja na kiongozi wa nchi kutoa maelekezo lakini bado ni kero hasa Hapa Mwanza, wafanyakazi hawajali wateja, unapeleka malalalamiko hayashughurikiwi,majibu ya ajabu kama hatupangiwi kazi ndo yanatolewa hapa Mwanza , kwa nini unipangie matumizi ya pesa yangu ambayo nimedunduliza ije inisidie we unataka unilipe 33% kwa miezi 6?NSSF Mwanza mnakera sana .