NSSF mafao, naomba kueleweshwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,228
Reaction score
102,355
Nina ndugu yangu anafuatilia mafao yake baada ya sehemu alipokuwa anafanyia kazi kufunga shughuli zao na wafanyakazi kuondoka. Sasa ndugu yangu anafuatilia kulipwa mafao yake.

Swali: Utaratibu kwa sasa ukoje maana walisema mtu halipwi mpaka 60 yrs?

NOTE: Akienda huko wanamwambia kuwa watamlipa, lkn inaonekama kama ni dana dana tu.

Pili muda mwingine wanasema watamlipa kiasi na kiasi kingine baadaye Lini? Haijulikani afanyeje aweze kupata mafao yake.
 
Mm nilifuatilia nikajaza na form nikaambiwa nitatumiwa txt ila adi now ni mwezi sasa na sjaona txt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…