NSSF kwafukuta: Meneja mpya wa majengo NSSF anafukuza wapangaji ambao ni walipaji wazuri wa kodi

Sitaki kuzungumza suala LA mtoa mada ila napenda sana mfuko wa PPF.
Kama huyu jamaa katoka PPF huenda akalibadili shirika vizuri.
Nilivyokua PPF nilikua napata statement ya michango yangu muda wowote nikitaka kupitia android application au kwenye website yao. Baada ya kuhamia NSSF.
Huduma za PPF zilikua poa sana ofisi zote ziko floor moja Ila baada ya kuhamia NSSF reception iko ground floor ofisi ya meneja iko floor ya pili.
Kama huyu bosi anawaondoa wapangaji ili aweke mambo sawa namuunga mkono asilimia zote.
 
mhhhh

NSSF KWAFUKUTA: MENEJA MPYA WA MAJENGO NSSF ANAFUKUZA WAPANGAJI AMBAO NI WALIPAJI WAZURI WA KODI
  • Alipewa cheo na Mkurugenzi Mkuu bila kufuata taratibu.
  • Aliletwa kama afisa wa kawaida toka PPF, ambako ndipo alipotokea Mkurugenzi wa sasa pia.
  • Anawafukuza wapangaji wanaolipa vizuri kwa kigezo cha kupata nafasi za kuweka ofisi.
  • Ofisi zinapewa maeneo makubwa kuliko mahitaji yanayostahili.
  • Ofisi nyingi alizoondoa watu ziko wazi.
  • Case study hii ni kwa Jengo la Benjamin Mkapa pekee. Mengine nashauri yafuatiliwe.
Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa NSSF alimteua Bwana Augustino K. Paul kuwa meneja wa majengo (Estate Manager). Augustino K. Paul alihamishwa toka PPF baada ya sheria ya kuunganisha mifuko ya hifadhi ya Jamii. Na alikuwa ni afisa mdogo anayehusika na upimaji wa maeneo katika majengo ili kugawa kwa square meters pamoja na kushughulika na mambo ya ufundi na repair, ambako katika ofisi yao kuna watu wengi.

Siku moja Mkurugenzi Mtendaji alishuka na kufika ofisi ya watu wa Ufundi na akamkuta Augustino yuko peke yake, akatumia kigezo hicho kumpandisha cheo, toka afisa wa chini hadi kuwa Estate Manager, bila kuzingatia katika idara hiyo baada ya kuripoti kazini huwa wana kazi nje ya ofisi kushughulika na mambo ya maintenance, au kwenda kushughulikia majengo mengine yaliyo chini ya NSSF. Hivyo inaonekana kuna mpango uliopangwa na Mkurugenzi Mtendaji na yeye, kwa kuwa wote walitoka PPF basi akamtafutia nafasi ambayo ni dhahiri uwezo wake kuitendea haki ni mdogo.

Katika hilo jengo la Benjamin Mkapa hivi sasa amewaondosha wapangaji wa muda mrefu, ambao wamekuwa wakilipa kodi zao kwa wakati na kwa uaminifu, hadi sasa napoongea amewaondoa wapangaji watatu, mmoja kamuhamishia eneo jingine ambalo ni dogo kuliko la awali (ina maana mapato yanapungua), wengine bado wanavutana katika mchakato wa kuwaondoa.

Hivi sasa zaidi nusu ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, mtu huyu badala ya kuweka mkakati wa kupata wapangaji wapya kwanza yeye ndio anafukuza wapangaji ambao wanafanya biashara zao na kulipa kodi, ambayo ndio kipato ambacho kinasaidia kuendesha taasisi, mtu huyu asipoangaliwa ataua baishara ya Real Estate iliyo chini ya NSSF, ni Dhahiri uwezo wake ni mdogo, huenda anastahili kubaki kuwa fundi wa upimaji.

MAKAMPUNI AMBAYO AMEFANIKIWA KUYAONDOA MPAKA SASA NI:-
  • PANACOM SOLUTIONS LTD
  • WILD DOGS TOURS & TRAVEL
  • STELLAH TRAVELS
  • SOLOHAGA CO. LTD.
KAMPUNI AMBAYO IMEHAMISHWA
  • ETERNAL INTERNATIONAL
BAADHI YA MAKAMPUNI AMBAYO TAYARI AMEANZA MCHAKATO WA KUYAONDOA NI:-
  • GESTA FINANCE
  • TAN ADVERTS
  • UNIVERSITY ABROAD REPRESENTATIVE (UAR)
  • JUMBO CAMERA HOUSE
  • ORIFLAME
  • NA MENGINE AMBAYO BADO HAJAYATAJA.
Sababu anayotumia ni kuwa anatafuta maeneo kuweka ofisi za wafanyakazi wa NSSF, kwanza unashindwa kuelewa hao wafanyakazi ambao inabidi idadi kubwa ya wapangaji lazima waondolewe ili wakae wako wapi? Kwa mtu ambaye angeangalia ugumu wa kupata wapangaji na jinsi ambavyo sehemu kubwa ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, basi kama kweli kuna watu wanahitaji nafasi za kufanyia kazi kuna department angepeleka katika majengo ambayo yako wazi, kwanza unataka uweke ofisi ground floor na mezzanine imekuwa duka la nguo? Anashindwaje kutumia rasilimali alizonazo bila kuathiri mapato ya mfuko, ambayo hayo mapato yanahitajika ili kuendesha mfuko, kuwalipa wastaafu MAFAO, na kuweza kurejesha pesa za uwekezaji?

Huyu ni mfano wa wafanyakazi wa taasisi za umma ambao maamuzi yao yasiyo ya busara yamekuwa yakigharimu hizi taasisi kwa kiwango kikubwa. Mfano hao wapangaji anaowandoa kwa ulazima wana mikataba ya miaka mitatu, na kuendelea, je wakiamua kushitaki si mfuko itabidi ulipe fidia? Mimi nimeandika kama raia mwema, jambo hili liangaliwe na watu walio katika vyombo vya maamuzi ili lipatiwe ufumbuzi, na huyu ni Estate Manager wa nchi nzima, haya yote kayafanya Benjamin Mkapa Towers pekee, hatujui katika majengo mengine na mikoa mingine.

NB: CHA AJABU OFISI AMBAZO AMEWAONDOA WATU ZIKO TUPU, HAKUNA KINACHOENDELEA, ZIKO WAZI, UKITAKA ZIONA FIKA MEZZANINE FLOOR NA UZUNGUKE, KAMA ULISHANGAA YA MUSA SASA UTAONA YA FIRAUNI.
Jina lako tafadhali!
 
MAJUNGUU YENUU MALIZENI HUKOOHUKO SISI TUNATAKA HELAA AFUKUZE AWEKE WANAOLIPA ZAIDI TUNATAKA HELA BARABARA MADARAJA ALLAH
 
UMETAJAA MAKAMPUNI YALIOOHAMISHWA UMETAJA MAKAMPUNI YALIO KWENYE MCHAKATO
KAMA UNA INFO TUONYESHE HUO.MCHAKATO UKIONESHA HIZO KAMPUNI ZINAZOTARAJIWA KUONDOLEWA
 
mimi ni jiwe,, sipangiwi..
hujui kama nyumba za miradi hii ni dilii. hata akifukuza watapatikana wengine.
Nchii hiii!!!!
 
Fitina, uzindaki, uchawi, ufukunyuku, kijiba cha roho, roho ya kwann, ubinafsi, umimi, upashkuna,n.k.zingine za namna hiyo, ndiyo tabia na roho za mleta mada...

Pole SANA....uende ukakanyage mafuta ya Bulldoza, utaponywa....

Watz tuache haya mambo, unamuonea wivu meneja...hiyo nafasi huwezi kupewa wewe kwa tabia...

Everyday is Saturday.......................:cool:
 
Uelewa wako finyu
 
NSSF KWAFUKUTA: MENEJA MPYA WA MAJENGO NSSF ANAFUKUZA WAPANGAJI AMBAO NI WALIPAJI WAZURI WA KODI
  • Alipewa cheo na Mkurugenzi Mkuu bila kufuata taratibu.
  • Aliletwa kama afisa wa kawaida toka PPF, ambako ndipo alipotokea Mkurugenzi wa sasa pia.
  • Anawafukuza wapangaji wanaolipa vizuri kwa kigezo cha kupata nafasi za kuweka ofisi.
  • Ofisi zinapewa maeneo makubwa kuliko mahitaji yanayostahili.
  • Ofisi nyingi alizoondoa watu ziko wazi.
  • Case study hii ni kwa Jengo la Benjamin Mkapa pekee. Mengine nashauri yafuatiliwe.
Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa NSSF alimteua Bwana Augustino K. Paul kuwa meneja wa majengo (Estate Manager). Augustino K. Paul alihamishwa toka PPF baada ya sheria ya kuunganisha mifuko ya hifadhi ya Jamii. Na alikuwa ni afisa mdogo anayehusika na upimaji wa maeneo katika majengo ili kugawa kwa square meters pamoja na kushughulika na mambo ya ufundi na repair, ambako katika ofisi yao kuna watu wengi.

Siku moja Mkurugenzi Mtendaji alishuka na kufika ofisi ya watu wa Ufundi na akamkuta Augustino yuko peke yake, akatumia kigezo hicho kumpandisha cheo, toka afisa wa chini hadi kuwa Estate Manager, bila kuzingatia katika idara hiyo baada ya kuripoti kazini huwa wana kazi nje ya ofisi kushughulika na mambo ya maintenance, au kwenda kushughulikia majengo mengine yaliyo chini ya NSSF. Hivyo inaonekana kuna mpango uliopangwa na Mkurugenzi Mtendaji na yeye, kwa kuwa wote walitoka PPF basi akamtafutia nafasi ambayo ni dhahiri uwezo wake kuitendea haki ni mdogo.

Katika hilo jengo la Benjamin Mkapa hivi sasa amewaondosha wapangaji wa muda mrefu, ambao wamekuwa wakilipa kodi zao kwa wakati na kwa uaminifu, hadi sasa napoongea amewaondoa wapangaji watatu, mmoja kamuhamishia eneo jingine ambalo ni dogo kuliko la awali (ina maana mapato yanapungua), wengine bado wanavutana katika mchakato wa kuwaondoa.

Hivi sasa zaidi nusu ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, mtu huyu badala ya kuweka mkakati wa kupata wapangaji wapya kwanza yeye ndio anafukuza wapangaji ambao wanafanya biashara zao na kulipa kodi, ambayo ndio kipato ambacho kinasaidia kuendesha taasisi, mtu huyu asipoangaliwa ataua baishara ya Real Estate iliyo chini ya NSSF, ni Dhahiri uwezo wake ni mdogo, huenda anastahili kubaki kuwa fundi wa upimaji.

MAKAMPUNI AMBAYO AMEFANIKIWA KUYAONDOA MPAKA SASA NI:-
  • PANACOM SOLUTIONS LTD
  • WILD DOGS TOURS & TRAVEL
  • STELLAH TRAVELS
  • SOLOHAGA CO. LTD.
KAMPUNI AMBAYO IMEHAMISHWA
  • ETERNAL INTERNATIONAL
BAADHI YA MAKAMPUNI AMBAYO TAYARI AMEANZA MCHAKATO WA KUYAONDOA NI:-
  • GESTA FINANCE
  • TAN ADVERTS
  • UNIVERSITY ABROAD REPRESENTATIVE (UAR)
  • JUMBO CAMERA HOUSE
  • ORIFLAME
  • NA MENGINE AMBAYO BADO HAJAYATAJA.
Sababu anayotumia ni kuwa anatafuta maeneo kuweka ofisi za wafanyakazi wa NSSF, kwanza unashindwa kuelewa hao wafanyakazi ambao inabidi idadi kubwa ya wapangaji lazima waondolewe ili wakae wako wapi? Kwa mtu ambaye angeangalia ugumu wa kupata wapangaji na jinsi ambavyo sehemu kubwa ya majengo ya NSSF hayana wapangaji, basi kama kweli kuna watu wanahitaji nafasi za kufanyia kazi kuna department angepeleka katika majengo ambayo yako wazi, kwanza unataka uweke ofisi ground floor na mezzanine imekuwa duka la nguo? Anashindwaje kutumia rasilimali alizonazo bila kuathiri mapato ya mfuko, ambayo hayo mapato yanahitajika ili kuendesha mfuko, kuwalipa wastaafu MAFAO, na kuweza kurejesha pesa za uwekezaji?

Huyu ni mfano wa wafanyakazi wa taasisi za umma ambao maamuzi yao yasiyo ya busara yamekuwa yakigharimu hizi taasisi kwa kiwango kikubwa. Mfano hao wapangaji anaowandoa kwa ulazima wana mikataba ya miaka mitatu, na kuendelea, je wakiamua kushitaki si mfuko itabidi ulipe fidia? Mimi nimeandika kama raia mwema, jambo hili liangaliwe na watu walio katika vyombo vya maamuzi ili lipatiwe ufumbuzi, na huyu ni Estate Manager wa nchi nzima, haya yote kayafanya Benjamin Mkapa Towers pekee, hatujui katika majengo mengine na mikoa mingine.

NB: CHA AJABU OFISI AMBAZO AMEWAONDOA WATU ZIKO TUPU, HAKUNA KINACHOENDELEA, ZIKO WAZI, UKITAKA ZIONA FIKA MEZZANINE FLOOR NA UZUNGUKE, KAMA ULISHANGAA YA MUSA SASA UTAONA YA FIRAUNI.

Kwani Manager ana ripoti wapi? Kama Manager ana ripoti kwa Mkurugenzi wake; ina maana hayo maamuzi hayawezi kutoka bila Mkurugenzi kuhusishwa.

Pia, Maelezo yako ni kilio zaidi kuliko Uhalisia wa kile kinacholalamikiwa; inawezekana ni uandishi wako au you are too subjective.

Come here with facts in summary.
 
Mbona inaeleweka? Labda uboost uelewa wako
 
Nimesoma kwa umakini mkubwa huu uzi ; nilichogundua huyu mwandishi cyo mwananchi wa kawaida ila nimfanyakazi wa nssf

Lakini pia, nimegundua mleta uzi nimuhusika mkubwa wa hii mada , yawezekana kuna masrahi yake kwa wapangaji wanao ondolewa au alitarajia hicho cheo apewe yeye!

Jambo jingine ninacho ona hapo nssf watakuwa wamebanwa sana sasa hivi na urio! Maana ukiona manyoya jua kaliwa! Nssf palioza sana hakuna mtu asiyejua aliye wahi kuwa mwanachama wa mfuko huu.

Hata serikari ilipoyaunganisha mashirika haya wanachama tulifurahi, Nssf walikuwa wezi wote kuanzia mlinzi hata km alitolmka kampuni za ulinzi hadi mkurugenzi Nssf mlikuwa wezi sana! Mimi mmekula tsh. 600000/= mwaka 2011 yaani kwa nguvu kabisa. Nssf mlikuwa wezi acha mbanwe! URIO BANA KABISA HAO WOTE ULIOWAKUTA NSSF MAJIZI MAKUBWA.

Mliiba kuanzia miradi mpaka michango yetu ya wanachama!

URIO WAFUMUE WOTE HAO HUYO ALIELETA HII MADA NDO WALE WAPIGAJI WA Mpangaji analipa shirika laki3 yeye analipwa laki6.

Urio kufa nao hao safisha shirika nenda mwaza, geita , na kwingine.
Mkuuu kwa kifupi unauwezo hata wa kupiga ramli na mteja akakupa mapesa.
Kwa kifupi Wapangaji wengi wa NHC na NSSF ni magumashi tupu. Yaani kwenye shirika analipa Mil 1 na Afisa wa NSSF mwenye mchongo anapiga Mil 2 sasa kwa bandiko hili huyu mleta mada Michongo imeguswa. Yaani hapo alipo anaweza hata muuua huyo jamaa aliyepewa cheo.
Second ni Udini, hapo NSSF palikuwa na Udini mnooo, kwa jina la huyo aliyepewa madaraka ni dhahiri kabisa ni mtu wa kuabudu wkend, lazima Vijana wa Mzee Dau waanzishe Ntinti maaana walijiona kama wao tu ndio wanastahili Vyeo.
 
Nimesoma kwa umakini mkubwa huu uzi ; nilichogundua huyu mwandishi cyo mwananchi wa kawaida ila nimfanyakazi wa nssf

Lakini pia, nimegundua mleta uzi nimuhusika mkubwa wa hii mada , yawezekana kuna masrahi yake kwa wapangaji wanao ondolewa au alitarajia hicho cheo apewe yeye!

Jambo jingine ninacho ona hapo nssf watakuwa wamebanwa sana sasa hivi na urio! Maana ukiona manyoya jua kaliwa! Nssf palioza sana hakuna mtu asiyejua aliye wahi kuwa mwanachama wa mfuko huu.

Hata serikari ilipoyaunganisha mashirika haya wanachama tulifurahi, Nssf walikuwa wezi wote kuanzia mlinzi hata km alitolmka kampuni za ulinzi hadi mkurugenzi Nssf mlikuwa wezi sana! Mimi mmekula tsh. 600000/= mwaka 2011 yaani kwa nguvu kabisa. Nssf mlikuwa wezi acha mbanwe! URIO BANA KABISA HAO WOTE ULIOWAKUTA NSSF MAJIZI MAKUBWA.

Mliiba kuanzia miradi mpaka michango yetu ya wanachama!

URIO WAFUMUE WOTE HAO HUYO ALIELETA HII MADA NDO WALE WAPIGAJI WA Mpangaji analipa shirika laki3 yeye analipwa laki6.

Urio kufa nao hao safisha shirika nenda mwaza, geita , na kwingine.
Ah ah kwa lugha rahisi jamaa wanaisoma namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom