Nssf Jumamosi wanafungua?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Hallo wajameni NSSF kesho Jumamosi wanafungua,...nataka nifike ofisini kwao.
 
NSSF si duka la nguo ni taasisi ya umma. Taasisi zote za umma hazihudumii wateja isipokuwa hospitali tu na benki kwa nusu siku.
 
Back
Top Bottom