Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
Ngoja siku ukienda kudai mafao yako ukakuta unanyimwa ndio useme.
Uko Tanzania ipi?
Hujasikia wafanyakazi wanaotaka kuandamana migodini baada ya kukosa hela yao?
Mkuu mimi nikidhani una upeo wa kuona the fallacy in the Ammendment ya sheria yenyewe na isivyo watendea haki wafanya kazi.Hawajaelimisha vya kutosha na wanachochewa na mapunguani wachache, wanajulikana ni kina nani. Migodini na NSSF wapi na wapi?
Mkuu mimi nikidhani una upeo wa kuona the fallacy in the Ammendment ya sheria yenyewe na isivyo watendea haki wafanya kazi.
Hata utoe elimu namna gani, the Ammendment does not make sense!
Unategemeaje nini ksma yafuatayo ni dhahiri:
-wafanyakazi wote walipwe after retirement at 55(orabove), wakati hata life expectancy haifiki huko
Bado hujajibu mantiki nzima ya ukiukwaji wa madhumuni ya mfuko wenyewe kuwa ni kwa faida ya wafanyakazi na si vinginevyo.Kabla sijaendelea kusoma hoja zako zingine, hapo umekosea sana:
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) show
Source: Tanzania
Kwa kuwa ushalijuwa hilo, sasa badili post yako, uje kivingine.
Bado hujajibu mantiki nzima ya ukiukwaji wa madhumuni ya mfuko wenyewe kuwa ni kwa faida ya wafanyakazi na si vinginevyo.
In fact hujajibu hoja.
My points still stand.
As a thinking man you dissapoint me , hivi wewe kwa akili yako unafikiri hicho ndio kigezo kikubwa kilichosukuma kubadili sheria ili mfanyakazi "afaidike" after 55years of age?Badili kwanza takwimu yako kama nilivyokurekebisha huko juu, unaonesha una data za mwaka 2008, maana hata 2010 life expectancy ilikuwa ni miaka 57.4.
Hiyo ndio ilikuwa hoja yako ya mwanzo. Rekebisha hiyo au kubali kuwa ulileta hoja isiyo ya kweli ili tuendelee. Kwanini niendelee kukujibu hoja secondary wakati primary umezuwa? FIKIRI.
As a thinking man you dissapoint me , hivi wewe kwa akili yako unafikiri hicho ndio kigezo kikubwa kilichosukuma kubadili sheria ili mfanyakazi "afaidike" after 55years of age?
Come on what shallow targets.
Inaeleka wala hujui unachokiongelea in its totality na ni kama mfa maji anayedandia unyasi!
Hoja yangu bado inasimama kuwa mfanyakazi anaihitaji hiyo fedha siyo akistaafu, bali wakati anihitaji.
Dont be static.
I now seriously doubt your level of knowledge, and thus understanding of facts and logic.Kwanza kubali ulileta habari siyo ya kweli ili tuendelee na hoja zako zingine. Bila hivyo ni kama unampigia mbuzi gita.
I now seriously doubt your level of knowledge, and thus understanding of facts and logic.
Na kama kuna mbuzi kama wewe asiyeelewa elewa basi hafai kuwa hapo alipo.
You sound like a suit claded nicompoop polishing office chairs for no good reason.First and foremost you have to apologize to the JF users for trying to feed us wrong national data. If you can not apologize at least acknowledge you were wrong or whom ever fed you that figure was as wrong as you are.
By the way, Did you learn that from your teacher?
Bwana mukubwa nondo ulizopigwa hujazitete ha moja. Na je kama ni kweli life expectancy ni zaidi ya miaka 57.First and foremost you have to apologize to the JF users for trying to feed us wrong national data. If you can not apologize at least acknowledge you were wrong or whom ever fed you that figure was as wrong as you are.
By the way, Did you learn that from your teacher?
Bwana mukubwa nondo ulizopigwa hujazitete ha moja. Na je kama ni kweli life expectancy ni zaidi ya miaka 57.
Mfanya kazi yuko better off?
Uhalali wa sheria ni kwanifaisha wananchi na si vinginevyo.
Ukubali usikubali hapa serikali ilichemsha kuchezea kipato cha wafanyakazi.
Mbaya zaidi wewe unasema wafanyakazi migodini wanachochewa!
Wafanyakazi si wajinga kiasi mnachofikiri.
Kweli aliyeshiba hamkui mwenye njaa!
Huyu bwana ana abasic problem ya understanding issues na logical presentation.Mkuu Lole Gwakisa afadhali umenisaidia kumjibu jamaa anapenda ligi ya ubishi nadhani ana PhD ya ubishi kutoka Morogoro Islamic University.
Kabla sijaendelea kusoma hoja zako zingine, hapo umekosea sana:
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) show
Source: Tanzania
Kwa kuwa ushalijuwa hilo, sasa badili post yako, uje kivingine.