Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,860
- 29,144
NSSF haikuanzishwa kwa ajili ya kujenga viwanda, huu ni mfuko wa jamii na pesa zilizomo ni za wanachama si za serikali hivyo zinahitaji udhibiti wa kibenki. Kwa bahati mbaya zipo dalili zinazoleta mashaka juu ya mwenendo wake na hasa kutokuwepo wastaafu kwenye bodi yake pia kutokuwa na mawasiliano ya aina yoyote na wastaafu.Kwa hiyo sasa hawa NSSF katika hali hii, watajenga viwanda vingapi? maana Jiwe anataka mashirika haya yajenge viwanda...
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaonekana kuwa hoi kifedha, kwa miezi kadhaa sasa limekuwa likishindwa kuwalipa wastaafu malipo ya pensheni kwa wakati ambapo malipo hayo hufanyika tarehe 24. Mwanzo ucheleweshaji huo shirika lilikuwa likidai kuwa unafanywa na shirika la Posta hata hivyo hakuna hatua zilizowahi kuchukuliwa. Kutokuwepo uhakika wa tarehe ya malipo kumewafanya wastaafu washinde kwenye ofisi za Posta kwa kati ya siku mbili mpaka sita! Mimi nikiwa mmoja wa wahanga ambao tungelipwa tarehe 24 mpaka leo tarehe 28 malipo yameshindikana na hakuna taarifa yoyote kuhusu hali hii. Kinachoonekana ni kuwa malipo yatafanyika baada makusanyo ya michango toka kwenye makampuni.
Ni vizuri shirika lijitokeze na kuwaeleza wateja kuhusu kadhia hii badala ya kujificha na kuwaacha wastaafu wakihangaika.

PESA ZETU ITAKUWA ZIMEENDA KWENYE UNUNUZI WA MADIWANI NA WABUNGE,IPO SIKU TU NYIE FANYENI KWA KUTII MAAGIZO KUTOKA JUU,YAN HELA YA MTU MLIYOMKATA KUIPATA HADI AHANGAIKE YAAN NYIE NI WADHULUMAJI SAAANA NA HII DHAMBI ILIBIDI ISIWE NA MSAMAHA.Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaonekana kuwa hoi kifedha, kwa miezi kadhaa sasa limekuwa likishindwa kuwalipa wastaafu malipo ya pensheni kwa wakati ambapo malipo hayo hufanyika tarehe 24. Mwanzo ucheleweshaji huo shirika lilikuwa likidai kuwa unafanywa na shirika la Posta hata hivyo hakuna hatua zilizowahi kuchukuliwa. Kutokuwepo uhakika wa tarehe ya malipo kumewafanya wastaafu washinde kwenye ofisi za Posta kwa kati ya siku mbili mpaka sita! Mimi nikiwa mmoja wa wahanga ambao tungelipwa tarehe 24 mpaka leo tarehe 28 malipo yameshindikana na hakuna taarifa yoyote kuhusu hali hii. Kinachoonekana ni kuwa malipo yatafanyika baada makusanyo ya michango toka kwenye makampuni.
Ni vizuri shirika lijitokeze na kuwaeleza wateja kuhusu kadhia hii badala ya kujificha na kuwaacha wastaafu wakihangaika.
Ramandhani Dau alienda na dau lake
Ila siku hizi yataka moyo kuwahurumia the aged/wazee, maana ndio washabiki wakubwa wa ccm
Mkuu futa hii kauli ya kubadilisha mara kwa mara uongozi ni shiiiida, nadhani nimeelewekaNi kwa sababu za kiutawala tu maana ndani ya miaka miwili mabadiliko mara mbili, sasa kila anaekuja lazma ajiridhishe na malipo yanayofanywa,hata rais JPM alipoingia madarakani alianza kuhakiki uhalali wa madai ya makandarasi,wengine hadi sasa hawajalipwa.Kubadilisha mara kwa mara uongozi ni shiiiiiiiiiiiida
Hakuna urasimu hapo hali ni mbaya huko. Baada ya kupata malipo yangu ndio nimeanza kutafakari nilichokuwa naambiwa japo walikuwa wananifokea ila sasa nimewaelewa lile shirika tuliombee ili hawa ndugu zetu wapate mafao yaoInawezekana ni kweli, lakini inawezekana ni urasimu tu..