NSSF hakujatulia bado

NSSF hakujatulia bado

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,587
Almost a week ametolewa Mkurugenzi NSSF.
Leo waziri kavunja bodi.
Si bodi wala Mkurugenzi hakuna alokaa muda mrefu pale.
Je hawa nao bado wanaendelea na manjonjo ya awam ya JK?
Kunani NSSF?
 
Ni mwendo wa kutengua tu, hamna shida by the way.
 
Poa tu,nimekosa fweza zangu eti kwa kuwa ninepata kazi ingine,hiyo ni Lana acha watumbuane tu
 
Back
Top Bottom