"Nsha lala nae tayari"

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,096
Reaction score
165,902
Nilikuwa nasafiri na Kaka Musa kuelekea Arusha.
Njiani akapanda bonge la sister du, na akaenda kukaa kiti kimoja na Kaka Musa.
Fasta bila kuchelewa Kaka Musa akanitumia sms kuwa "Huyu demu lazima nilale nae".
Mi nikamwambia poa, nakutakia kila la kheri.
Kabla hatujafika Chalinze mrembo akasinzia. Baada ya dakika kumi Kaka Musa naye akasinzia.
Baada ya nusu saa akaamka kisha akanitumia sms nyingine "Nsha lala nae tayari"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…