Nsa Job na rushwa toka msimbazi

Nsa Job na rushwa toka msimbazi

Aisee kumbe Simba ndivyo walivyo! Hakuna shaka hata zile goli 5 walizotupiga kuna watu walichukua chao, wabongo bhana!
 
Mkuu Masuke hii habari nimeipata kwa mtu mmoja makini sana. Wala sina maana ya kuwapiga vijembe Simba zaidi ya kupashana habari tu.

Mimi nilivyoisikia tu na yale maelezo kwamba wachezaji wawili walipewa red card na Nsa Job alifunga na matokeo yakawa timu yake moja na ile kigogo bila nilijua tu ni mechi ya Villa na Simba msimu uliopita na moja kwa moja hisia zangu nikazipeleka kwa Kaburu kama Nsa Job alichosema ni kweli maana ndo kiongozi pekee wa Simba anayependa short cut. mkuu hiki wala sio kijembe, kwa mtu yeyote anayechukia rushwa bila kujali timu gani anaishabikia lazima hatafurahi kusikia mambo ya rushwa, Rushwa ni mbaya sio michezoni tu kila sehemu rushwa ni mbaya na kama mtu hajawahi kuathirika na matukio ya rushwa ataona ni sawa tu labda kwa sababu leo anafaidika nayo, lakini ikumbukwe siku zote haitakuwa leo kuna kesho, kesho kutwa na mtondo go, leo utafurahia kwa sababu umefaidika nayo lakini lazima ukumbuke kuna wengine wengi tu wanaumia kwa sababu ya rushwa. wana JF wote tuseme HAPANA JUU YA RUSHWA.
 
Kweli rushwa ni mbaya kwa sababu inaondoa haki. Kwa kuwa Nsa Job alichukua mshiko kisha akafanya kazi yake bila kuzingatia mshiko ule hivi huo mshiko bado una sifa ya kuitwa rushwa? Nadhani kama angechukua mshiko halafu akiwa katika nafasi ya kufunga akaacha kufunga kwa vile amechukua mshiko basi huo mshiko unakuwa rushwa.
 
Bongo soka,na ata TFF wangejua kuwa katoa rushwa wala wasingemfanya chochote,eti wanamwambia Nsa awaeleze vizuri ilikuwaje.
 
Nadhani una maana ya Jeofrey Nyange Kaburu.....huyu jamaa si ndio alimpa pia mrungura Ulimboka akampe Shaban Kado akiwa Mtibwa.

Huyu jamaa hafai inabidi afungiwe maisha kujihusisha na soka
 
Kweli rushwa ni mbaya kwa sababu inaondoa haki. Kwa kuwa Nsa Job alichukua mshiko kisha akafanya kazi yake bila kuzingatia mshiko ule hivi huo mshiko bado una sifa ya kuitwa rushwa? Nadhani kama angechukua mshiko halafu akiwa katika nafasi ya kufunga akaacha kufunga kwa vile amechukua mshiko basi huo mshiko unakuwa rushwa.

Hapo kosa ni kupokea Rushwa bila kujali ulitimiza mtoa rushwa alichokusudia au hukutimiza, kwa sababu angekuwa hapendi rushwa si angewataarifu TAKUKURU, na kingine kufunga goli moja hatuwezi kuwa na uhakika kwamba hakutimiza ambacho mtoa rushwa alikusudia kwa sababu hatujui alikosa magoli mangapi ya wazi, kwa mujibu wa sheria wote wawili wanatakiwa waingizwe kwenye kikaango, ukisoma vizuri mtoa maada alichosema hata yeye Nsa Job ameweka wazi baada ya kuchoshwa na madai ya kwamba arudishe ile hela la sivyo angekaa kimya.
 
Safi sana Mkuu. Nsa anayo kesi.
 
Hivi huyu si kasema ligi mwaka huu sasa Villa wametoka wapi...? Msijifunzie pombe ukubwani..!!

Ilikuwa kwenye mechi kati ya Villa squad na Simba. Matokeo yalikuwa Vila 1 Simba 0. Mfungaji alikuwa Nsa. Kumbuka mechi hii ilimalizika Vila wakiwa 8 uwanjani baada ya redcard za ajabu. Inasemekana JNK amemkomalia dogo anadai hongo yake!
 
kaka rushwa sio mchezo watu wanataka kuuza magazeti hela hamna..
 
Hivi huyu si kasema ligi mwaka huu sasa Villa wametoka wapi...? Msijifunzie pombe ukubwani..!!

Kapimwe masikio yako. Kama hujui jambo ni bora kuuliza. Ukome kudandia gari kwa mbele.
 
Aisee kumbe Simba ndivyo walivyo! Hakuna shaka hata zile goli 5 walizotupiga kuna watu walichukua chao, wabongo bhana!

Fuso alichukua mzigo haiwezekani goli zote 5 zipitie ule upande wake

Hahaha chezea okwi kamstaafisha fuso bila kupenda katandika daluga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa wewe nyegere ndo unajua nini...??? Wewe ulimuifadhia hizo pesa ktk masaburi au...??

Kimpumu wakati wa jua kali sio powa....

Kapimwe masikio yako. Kama hujui jambo ni bora kuuliza. Ukome kudandia gari kwa mbele.
 
Sasa wewe nyegere ndo unajua nini...??? Wewe ulimuifadhia hizo pesa ktk masaburi au...??

Kimpumu wakati wa jua kali sio powa....

I reserve my comment. Have your way.
 
Back
Top Bottom