Hakuna namna ngoja na mimi tu nisemi..AiseeeAisee
Nchi kama hii hata maendeleo yatakuepo tu
i bet hii nchi inapata privilages nyingi sana...[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
View attachment 804935
Ahsante kwa kutuhabarisha mkuu tulishamezeshwa matango poriMkuu Avatar mok acha kujidanganya kabisa, huyo mwanamke aliyevaa Bikini siyo Rais wa Croatia Grabar-Kitarovic, bali ni Coco Austin mke wa rapa na muigizaji Ice-T(Tracy Lauren Marrow). Coco Austin amefanana kwa mbali na Grabar-Kitarovic ambaye ndiye Rais wa Croatia.
Picha hizi za Coco Austini zimesambazwa makusudi ili kupotosha ukweli na zilizagaa kwenye mitandao mwaka 2016. Grabar-Kitarovic hajapiga picha za namna hii na kuzisambaza kwenye mitandao.
Tuko pamoja mkuu, kazi ya JF ni kuelimishana.Ahsante kwa kutuhabarisha mkuu tulishamezeshwa matango pori
ni tanzania pekee inayopata tabu na muonekano wa mwanamke. Nchi nyingine wamefocus kwenye Technology na masuala muhimu. Umbo au mwonekano wa mwanamke haukupi maendeleo comrade!Nchi kama hii hata maendeleo yatakuepo tu
i bet hii nchi inapata privilages nyingi sana...[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
View attachment 804935
Tikiti poriNchi kama hii hata maendeleo yatakuepo tu
i bet hii nchi inapata privilages nyingi sana...[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
View attachment 804935