5. The believer- Common ft John Legend
Gheto dreams
Ft nas
Blue sky....
Ni sheeda. Nadhani zipo kwenye album moja.
Talibu kweli is a underground superstar killer.....Who's this Talib Kweli nlimskiaga kwenye "died in your arms" ile ya Jay
hiphop imenishinda kuipenda. ila kuna nyimbo hunivutia sana.
Big anasema ye ni kibonge hivyo police wakimkimbiza anaweza pata asthma. hivyo ana bust back. police akianguka anachukua bunduki na kwenda kuuza. Naipendaga hii line pia ''why am i dying to live if am only living to die''
Dah nyie majamaa huu uzi naomba uwe special kwa ajili ya kutupia mawe ya real hip hop.
Mmenifanya nitabasamu aseee.
Salute to yah joh